Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Ninavyojuwa, MadameX, anajuwa kupika, ila hapa anajaribu kuji Nivea tu....MadameX nakuelewa sana but tuongelee desturi na mila zetu za kiafrika coz thats what we are....Najua usafi muhimu,tabia njema na heshima muhimu,mambo kibao muhimu but thread inaongelea issue ya MWANAMKE KUJUA KUPIKA.....kwa upeo wako labda na malezi wewe unaweza kuona sio muhimu but kwa binti aliye lelewa na mama anaelewa maisha ya ndoa hawezi kua proud kuona binti yake ameolewa hajui kupika.Mi naona Chef/wapishi wanakuja baadae sana kama wasaidizi waziada pale mwanamke unapozidiwa na majukumu bt Mwanamke kupika muhimu!
huu hapo sio kule,hapa naandaa chakula ukipendacho ...............
Posts za hapa zinakuonyesha tu wadada gani wasiojua kipika, na jinsi wengi walivyo wahanga wa hili suala.
Mdada asiependa kuandaa hata chai mm huwa nakua na wasiwasi na usafi wake wa ndani, anakua msafi wa:
1. Kucha; maana zinatengenezwa na vijana wapaka rangi
2. Nyayo; maana zinaoshwa mtaani
3. Nywele; maana zinatengenezwa saloon
4. Mitindo ya kutembea/ kutikisa mwili maana wanaangalia kwenye muvi.
Ila huko ndani hapajawa na watu mtaani wenye biashara ya kusafisha, so nakua na wasi wasi kama mtu unaweza kula pakifungiliwa milango, and this.is from experience
huu uafrika wenu wakuwafanya wanawake watumwa wenu ndio sababu mnakufa na pressure kama mkeo hajui kupika si umfundishe ??kwani lazima kujua ina maana ukioa mwanamke hajui kusoma wala kuandika ndio usimfundishe kusoma na kuandika kipi zaidi ya kujua kupika !poor analysisiNahisi we mzungu....
mambo ya sex hayakuhusu!!!! mfumo dume kufilia mbali utapika na wewe kama sijui nakufua na wewe kama sijui lolNiveaaa...!Kumbe ishu si kupika tu!Lol!unagegedwa mnagegedana?mbona unaongea kama vile hata sex hufurahii?
Wakwe kitu gani bhana?! kwani unatakiwa kujua kupika kwa faida ya wakwe? ungesema ni kwa faida ya mtu mwenyewe ningekuelewa. tusilazimishe vitu kwa sababu wengine watatuonaje, ndo mana hatuendelei manake tunabaki kufanya vitu ambavyo si lazma sana ili tu watu wasitujaji vibaya. By the way, kupika ni hobby.
Ndio mkuu ndo maana mi nilijiopolea mzungu wangu taratiiibu...hakuna cha wakwe sjui watakuonaje...sometimes huwa nakaa kwenye sofa nanyoosha miguu yeye anakarangiza. maisha burdaaani.
Kupika ni hobby uzunguni huko, usituletee uzungu wako hapa, Afrika mtoto wa kike kujua kupika ni COMPULSORY, msijaribu kuficha aibu zenu (na wazazi wenu kwa kuwalea VIBAYA bila kuwafundisha kupika) kwa kuleta umagharibi hapa. We kama hujui kupika then u r not a woman to marry, damn it!
We tatizo lako ni kwamba hata kama atajuwa kupika, asipike simply because kwa mtazamo wako huo ni utumwa.....huu uafrika wenu wakuwafanya wanawake watumwa wenu ndio sababu mnakufa na pressure kama mkeo hajui kupika si umfundishe ??kwani lazima kujua ina maana ukioa mwanamke hajui kusoma wala kuandika ndio usimfundishe kusoma na kuandika kipi zaidi ya kujua kupika !poor analysisi
Posts za hapa zinakuonyesha tu wadada gani wasiojua kipika, na jinsi wengi walivyo wahanga wa hili suala.
Mdada asiependa kuandaa hata chai mm huwa nakua na wasiwasi na usafi wake wa ndani, anakua msafi wa:
1. Kucha; maana zinatengenezwa na vijana wapaka rangi
2. Nyayo; maana zinaoshwa mtaani
3. Nywele; maana zinatengenezwa saloon
4. Mitindo ya kutembea/ kutikisa mwili maana wanaangalia kwenye muvi.
Ila huko ndani hapajawa na watu mtaani wenye biashara ya kusafisha, so nakua na wasi wasi kama mtu unaweza kula pakifungiliwa milango, and this.is from experience
Hayo ya sex si umejitanabahisha mwenyewe ati kugegedwa ugegedewe bado upike?.....sound like you will end up being very lonely if you are not as we speak!mambo ya sex hayakuhusu!!!! mfumo dume kufilia mbali utapika na wewe kama sijui nakufua na wewe kama sijui lol
Am happily married,We endelea kutoka povu tu hapa, ukitaka meza au tema ukweli ndo huo. African woman...my foot!...
.....and they still wonder why men cheat!Happily married and you dont cook for your husband, just wait to see those house girls of yours show you ' how things are perfectly done' and what it means to be called a wife. Dont fight with me, I'm just giving my opinion on the issue at hand.
​umenionea wapi figganigga hahaaa!!My king unatafuta mwingine tena!!!!!!!!
​umenionea wapi figganigga hahaaa!!