Wadada hii imekaaje?

Wadada hii imekaaje?

Kuwa na msimamo kama MWANAUME usiyumbishweyumbishwe...Muelezee ukweli kabisa ijapokuwa maumivu ya kupigwa kibuti ni magumu mno
 
Bikira ckuizi hakunaga ukisubiri bikira itakula kwako
 
Hii si mada jamani tudiscuss fairly basi kuliko kuzodoana
Si bora hata kuzodoa .... Unaona ni sawa maneno uliyotumia ... Saa zingine muwe mnapima uzito wa maneno kabla ya kuyawasilisha ....
 
Si bora hata kuzodoa .... Unaona ni sawa maneno uliyotumia ... Saa zingine muwe mnapima uzito wa maneno kabla ya kuyawasilisha ....
Mbona kama imekutoa povu sana vilaka haina uhalisia ila inaweka msisitizo tu
 
Kula papuch ikizingua tafuta nyingne hzi bidhaa sio za kuzijali sana, faida matunda ya wanawake wengi mjomba
 
eheheh et mpaka imewekwa vilaka ..nasema huu ni uchochezi
 
Mkuu hiki ni kisa kimetokea hapa jirani sio changu
Sasa ulijuaje k imewekewa kiraka. Samahani nadhani ni mara yangu kukoment mada za mapenzi ila nimekereka na lugha uliyotumia. Mbaya sana aiseee we do share love ili kuenjoy maisha si kwa kudharauliana kiasi hiki. Haya mambo myafanyeni lkn utu wa mtu pia utunzwe. Mimi ni mwanaume kama wewe lkn UMENIKERA SANA
 
Mbona kama imekutoa povu sana vilaka haina uhalisia ila inaweka msisitizo tu
Imagine unapita mtaani unasikia wanamuongelea dadayako ( kama unaye) kwamba k yake imetumika kiasi cha kuwekewa viraka ungejisikiaje? Hta sina povu ila mjaribu kuheshimu dada zenu hata kama hamjazaliwa tumbo moja
 
Back
Top Bottom