Exactly, kama hiyo avatar yako!ni zao la mikono ya Mola. tofauti tuzionazo mimi na wewe, hazina mashiko kwake mwenye enzi. jibu linabaki moja tu, NI BIN-ADAMU
ni zao la mikono ya Mola. tofauti tuzionazo mimi na wewe, hazina mashiko kwake mwenye enzi. jibu linabaki moja tu, NI BIN-ADAMU
Perfect, and deserving of LoveWe are all equal
Watu wanafurahi kwa kicheko wewe unasema wana tatizo! Kuna mtu mwenye tatizo akawa na furaha?Nafikiri usafi ndio tatizo lao si vinginevyo
hahahaa. hii avatar ni ya kizamani kabla haijaanza kupendwa pochi wapo wachache walipenda 'mwanya'kama avatar yako