Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Ofcaz uhuru ni muhimu..Kulindana mambo ya kizamaniUsimlinde kupitiliza!
Kunywa Hennesy nakuja kulipa.Mimi naamini ukiwa na mpenzi wako wa kike ukimtimizia haya basi roho yake itatulia..
1. Mpatie hela ya kutatua mahitaji yake. Usisubiri akuombe mana wengine kuomba hawawezi.
2. Mfikishe kileleni muwapo 6×6. Mwanamke ukimkamata kunako 6×6 basi huyo kukuacha inakua ni ngumu sana.
3. Mpe care za kutosha. Mwanamke anahitaji caring nzuri na kumuona yeye ndo kila kitu.
4.Msifie mara kwa mara. Wanawake wanapenda kusifiwa,wanakua wanajiamini sana wakipata sifa kutoka kwa mpenzi wake.
Dada zangu kuna kingine nimesahau hapo?? Naamini hivyo ndo vitu vikuu.
Sasa kwa mwanamke ambae utampatia hivyo vitu hapo na bado akazingua huyo atakua hajatulia a.k.a pasua kichwa.
Hizo ndo care Miss Natafuta point namba 3, inaelekea unapenda sana ma care eehhizo tatu zinatosha hyo ya nne siitaki ongeza na anipigie pigie simu mara kwa mara umekunywa chai baby? umekula mamy? umekunya mpenzi? umeswaki mamy ? nk sio unajikausha kama haupo
Mwanamke umuhimu wake kwangu ni kunipa mapenzi na mtt nikitaka,hayo mengine ajiongze mwenyew kwn mm baba yKe.
Kama ana kichwa box hata usipompa uhuru atadanganywa tuPia ukimpa uhuru saana anadanganywa na marafiki zake wa kike! Wanampiga short
ndo maanake yaani kama hunijali hatutaelewana kabisa wala sikai na wewe siku mbili hata kama nimekupenda vipiHizo ndo care Miss Natafuta point namba 3, inaelekea unapenda sana ma care eeh
mapenzi unayajua wewe?Mwanamke umuhimu wake kwangu ni kunipa mapenzi na mtt nikitaka,hayo mengine ajiongze mwenyew kwn mm baba yKe.
ni ngumu kuelewa wanaume hawa wa siku za mwisho
Usiishi kwa kuiga na usimfanye mkeo ama mpenzio sijui mchumba wako ajione kuwa ni movie star. Ishi maisha halisi. Ya kwenye movies yaache huko huko.Mimi naamini ukiwa na mpenzi wako wa kike ukimtimizia haya basi roho yake itatulia..