Wadada haya ni ya kweli?

Umeonaa eehhh kumbe tuko wengi kidhungu halafu ndeeeeeeeeefu ahhh zinachosha kweli kichwa

Acha uvivu DA, wakati upo shule mbona ulikuwa unatoa macho kwenye kitabu unamaliza kurasa hata 15 ndani ya dk tu. Hapo ulipo ofisini kwako kuchambua mkataba au kuchagua suppliers unatumia mda zaidi ya dk 20 na yote nikwenye kidhungu. Hii ya dk 1 tu unapata uvivu wakati wewe ndo mtu wa kutaka macare kutoka kwa shemeji..... kidding!

 
Back
Top Bottom