Una uhuru wa kusema pale pale kuwa tumekutana leo hii halafu unaanza kunitaka kingono inamaana umeniona mimi ni kahaba najiuza mwili?Ha haaa sasa unampangia?
Ila kuomba mbususu siku ya kwanza ndo ustaarabu wenyewe?
Aaah we sasa umeamua kupotosha tu hapa. Mahari umeambiwa inahusiano na kulipia mwanamke ama ni zawadi kwa familia ya mwanamke kwa kutunza binti hadi anaolewa?!Nature haipo hivyo. That's y ukitaka kuoa unatoa mahari.
🤣🤣🤣🤣🤣Omba Omba wamekusikia
Unatamani uwapate au huna mpango?Ooooooh sijapataga kipofu wa kula nae,
Sasa mbususu si tunapeana yaani wewe unanipa mbususu yako na mimi nakupa mbususu yangu inakuwa ngoma droo tunafaidi woteHa haaa sasa unampangia?
Ila kuomba mbususu siku ya kwanza ndo ustaarabu wenyewe?
Ewaaa upo sahihi kabisa, Kuna binti nipo naye aisee ni mzuri, mpole na sio omba omba, mbona nna mwaka Sasa namlipia Kodi+chakula+bills zote na sijutii. Wakati tunaanz mahusiano hakuwahi kuniomb hela na alinifata mkoa ninaoishi kwa nauli yake. Yani huyu Sasa hivi kama anahitaji hela Wala sijiulizi natuma tu. We limtu umekutna nalo saa moja, saa mbili limeshaomba hela la nn hilo Sasa?Kaka Hapa Umenena….I Totally Agree With You.
Unajua kwa kawaida mtu yeyote anagharamia kitu flani anachokielewa na kuki adore sanaa…..iwe gari / kiwanja / nguo / hata chakula.
We Men sio kwamba ni bahili “ NO WAY “ issue ni mpaka nitoe hela kwa kitu flani either kimenivutia kitabia, muonekano au sifa zake. Kwa mwanaume kumpa hela mwanamke willingly basi ni pale anapovutiwa na sifa na tabia zake.
Hamjai ona dem anaweza akawa mrembo kweli kweli ila a Man hutaki tu kumpa hela na unayo nyingi tu….hata heshima yako humpi zaidi ya kutamani kupiga na kuacha.
I once dated this gal nikawa najikuta nampaga hela tu bila hata kuombwa na bila kujuta kitu cz dem alikua na character flani hivi ya pekee sanaa (YES, Hakuwaga Omba Omba Wala Kuwa Na Tamaa Za Kishamba Na Ni Mwepesi Sana Kutoa Vyake Bila Hiana Akiwa Navyo), Daaah
(Mnisamehe Kwa Gazeti Refu)
Tuongee biasharaBora wewe umesema ukweli. Yaani kuwa nisipoomba pesa ndo nitaonekana wa maana sana. Huwa sielewi hichi kitu
Mbona tukiwapa tunawatomba? Acheni ukahabasisi wanawake mara nyingi kama ikatokea mwanaume humtaki na hujavutiwa nae tunatumia mbinu yetu moja ya "kukuomba hela" mpaka ukimbie mwenyewe[emoji38] sasa hivi hatutumii neno eti "nina mtu wangu" ni mwendo wa kukuomba pesa wewe mwenyewe utasalimu amri[emoji53]
wewe tu😂😂 ruksa mbonaSamahan dada, hii comment naomba niiscreenshot na kuifanyia lamination, ntakuwa natumia kuwajibu wale wote wanaosema "tafuta hela upate madem"
Ni ufala tu na aina ya ukatili wa kijinsia ambao huwa una matokeo mabaya upande wa mwanamke.
Hawa mabinti ambao video zao za utupu huwa zinavujishwa mitandaoni ukitazama wengi wao chanzo ni tabia za kucheza na akili ya mwanaume ambaye ameshakolea kwake.
Kwann usimwambie kwa lugha rafiki tena ya kujali kuwa unasababu zako za kushindwa kuwa nae. Sio kumkataa kwa nguvu hadi anapatwa na maumivu ya hisia au kumfanyia matukio ya kufedhesha na kudhurumu nafsi kama kutumia pesa yake ili aone gharama kuwa na wewe aumie ili wewe uapate faida gani sasa ?
Wanawake mpo oriented kujifikiria binafsi na mnasahau kuwa na wanaume nao ni binadamu kama ninyi. Sasa kama ni hivyo mbona huwa mnakasirika pale wanaume wanapowafanyia matukio ya udhalilishaji wakati nyie hamkuona hiyana wala chembe ya aibu kuwafanyia ubaya wao?!

😂😂hata maandiko yanasema mwenye nacho ataongezewa na asiekuwa nacho atapokonywa hata na kile alichobakiwa nacho, mimi ni nani nipingane na maandiko? 😂😂acheni ubahili mkiombwa pesa toeniMbona tukiwapa tunawatomba? Acheni ukahaba