Lloyd Munroe
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,350
- 38,159
Me nkajua niiiiiii πππ
Siuzi,na Wala sitoi bure...ndio utajua hujuiWew unono wako unauza shngap?
Nyie si mnadhani tunaangalia tu pesa kumbe ata sioMe nkajua niiiiiii π
Dah aisee! Kama inakuja vilesisi wanawake mara nyingi kama ikatokea mwanaume humtaki na hujavutiwa nae tunatumia mbinu yetu moja ya "kukuomba hela" mpaka ukimbie mwenyewe[emoji38] sasa hivi hatutumii neno eti "nina mtu wangu" ni mwendo wa kukuomba pesa wewe mwenyewe utasalimu amri[emoji53]
Nakubaliana na wewe. Ukiona mwanamke anayejishaua mitandaoni ujue kuna mahala ni mpole ma mnyenyekevu sana kwa Jamaa na ndio wanaowaweka mjini. Sasa hawa mapisi wanaonuka machupi wanafata mikumbo tu kupayuka payuka na ujuba wa kijinga wanaishia kuzalishwa tu.Chukua bia nakuja. Ita mafundi wakujengee mnara hapo hapo ulipo.
Na kama utakuwa umeaaona wanaoendesha ndinga Kali Wana heshima Sana. Hata ukiongea nao tu unajua hapa Kuna mwamba kakaa.
Kuna mmoja ana drive vanguard, nilimtongoza....akawa anaelekea, lkn alivyokuja kubadili gear angani nilibaki kumsifia tu. Sikutaka mambo ya katibu wa masanja.
Nilivutiwa na alivyo royal...she wore woman face. She is cool.. anayemla ana mawe na watoto wanasoma DIS.
HIVI VIKOROBOI HUKU MTAANI VINAKUGANDA KAMA MAVI YA UDAGA. Kimoja Jana kilitoka kunirushia matusi
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Sijawaigi kula na kipofu[emoji41]
Bado upo nae au ni story ndefu kidogo?
Sikh hizi hakuna vipofu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio kwamba hakuna kula na vipofu semea nafasi yakoSikh hizi hakuna vipofu
Usitumie neno mapenzi sehemu ambayo si yake. Tumia neno ngono.Ukitafakari kwa kina utajua mapenzi ni biashara
Usiongee kama ni jambo rahisi. Sisi hatufuati tabia zao mbaya tunafuata mvuto unaotuvuta kwao. Hakuna sehemu popote ilishaandikwa kuwa mwanamke ukiwa mzuri basi wanaume wakikufuata wachaji pesa.Si umuache/ uwaache. Mbona rahisi sana.
Kuna kuomba pesa kwa shida za msingi na kulazimisha kupewa pesa sababu ya umasikini wa akili mtu anaotoka nao kwa wazazi wake.Bora wewe umesema ukweli. Yaani kuwa nisipoomba pesa ndo nitaonekana wa maana sana. Huwa sielewi hichi kitu
Contradictory fallacySiuzi,na Wala sitoi bure...ndio utajua hujui
Nakudediketia hii ngomaHehe Utamu Uliisha Aisee [emoji1787][emoji1787]. Ila Hadi Leo Ni Mwanangu Sanaaa. Sijai feel bad kuona ana mtu mwingine tho.
Tatizo lenu pia huwa mnawahi kuomba mbususu tena siku hiyo hiyo unayotongoza. Mtu kama huyo ni tamaa tu...sioni tatizo na yeye akiombwa pesa.Kuna kuomba pesa kwa shida za msingi na kulazimisha kupewa pesa sababu ya umasikini wa akili mtu anaotoka nao kwa wazazi wake.
Hatusemi mwanamke asiombe pesa. Ila hebu tumia hata akili basi. Yaani mtu amekutongoza, haumfahamu hakufahamu, yeye ameonyesha nia ya kutaka kuwa na ukaribu na wewe tayari unaanza kujenga mazingira ya kuomba pesa sasa wewe si unakuwa ni kichaa wa akili?!
Kwann usimjue mtu kwanza vema, jua anafanya nn mjini, mipango yake na kadhalika, at least mjuane then itakuwa rahisi kublend in na kusaidiana.
Huu wizi wizi wa chop some cash and puff poff like a wizard utawagharimu sana utu wenu.
Kwa miaka ijayo tutakuwa na idadi kubwa ya yale mama mashangingi yasiyo na mbele wala nyuma.
Sio kwamba hakuna kula na vipofu semea nafasi yako