Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
Sasa hujaelewa niliposema kwamba kuridhika kitandani inategemea na mtu??
Na mfano nikakupa wa huyo kaka ambae haridhiki kwasababu hafanyiwi anachotaka...kwa maana hiyo kila mtu ana anachotaka/penda na kutopata kwake ndiko kunakoamua kwamba ataamua kuridhika au la!!!Na swali lako la kama mtu atatoka asiporidhika pia nilijibu bila wewe kuuliza kwenye huo huo mfano.....''kaka anataka kutoka'' kwahiyo wapo watakaoenda kwingine na wengine labda watavumilia.
Unless sasa unataka nijibu kuhusu mimi binafsi nadhani maswali yako yamejibiwa!!
niko pooooa na namshukuru Mola.
Umejitahidi kujibu, hongera!
kama ulivyosema kuridhika ni relative, huwezi kujua chungu kama hujawahi kuonja tamu! unaweza ukatoa ufafanuzi hapa.. ninashawishika kuamini kuwa huyu mpenzi wako wa kwanza anaweza kuwa mume/mke ikiwa tu hukuwahi kuonja nje kufikia hatua ya ku-compare performance!
Sikujibu ili kumuimpress mtu kwahiyo that was unneccessary!!!
Hayo mengine unaonekana majibu yake unayo maana tayari umesema ''huwezi kujua chungu kama hujui tamu''....binafsi sikubaliani na huo msemo ila tayari unauelewa na kuukubali unavyotaka wewe so naomba nisikuharibie!!
Aliyekuuliza ni mimi, kwa hiyo inawezekana umeni-impress..
Mie binafsi niko kinyume na wazo la kutest kama ni kigezo kikubwa cha ndoa. Wewe ndo umeintroduce hiyo kwamba ni muhimu kutest performance..Huoni utakuwa hauko straight forward to what you believe..(maana kama umekubali performance ya mtu wako wa sasa it means ulikuwa unajua nini unahitaji, kwa kipimo ulichojiwekea)?
umeshawahi kujiuliza?
Hivi hasa kwa ambao hawajaolewa umeshatoa penzi kwa wanaume wangapi? na umepata faida gani? au kwa kumsaliti mumeo umewahi pata faida gani?
Kwa nini isifikie mahali wadada hasa ambao hawajolewa waseme basi sitotoa tena mwili wangu kwa mwanaume mwingine mpaka yule atakaekuja kunioa. Kwani umeshafanya hivyo kwa baadhi na hakuna aliekuoa.
Nadhani ifike kipindi wadada ifike useme basi inatosha waliopita wanatosha atakaefanikiwa tena ni yule atakaenioa, tena ikiwezekana siku tatu kabla ya ndoa labda ndio naweza muonjesha.
Sizungumzii sana wale wanaojiuza au kutegemea kupata pesa kutoka kwa wanaume hawawezi kujizuia hilo. hapa nimemlenga mwanadada mwenye kazi yake inayomtoshelezea mahitaji yake ya muhimu kusema basi inatosha kufanywa chombo cha starehe au haiwezekani wapendwa naombeni maoni yenu.
Msinitukane wala kunikebehi wajameni mi mgeni msijenikimbiza naomba tu maoni na tushauriane kama inawezekana au vipi
Orait then....leo ntalala kwa furaha kwa kua nimemuimpress Mpendwa....hongera zangu.
Kuhusu kua straight nipo sana na ndio maana sikusema uko sahihi bali nilichagua kuacha uamini unachoamini na mimi niamini nnachoamini bila mgongano wowote. Watakaosubiri nawapa hongera na watakaojaribu nao nawapa hongera vile vile maana faida inakua ya mtu binafsi hivyo kama atakaejaribu atapata kile alichokua anatafuta hongera.....anaesubiri nae akipata kile anachoSTAHILI hongera na kwake pia.
nina nini mimi??.........Aliyekuuliza ni mimi, kwa hiyo inawezekana umeni-impress..????????????
asante kwa response nzuri. Ningetamani kujua ni nini kilichopelekea uamini unavyoaamini? ni dini, au wazazi, au marafiki, au dunia?
nachofahamu mimi mpaka ufikie kuamini kitu fulani inategemeana na taarifa (information) ulizozikusanya vyanzo mbalimbali..inawezekana na wewe unachanzo chako?
Ni imani inayotokana na maoni binafsi.....sifati mkumbo wa yeyote wala chochote!!
Ila yanabebeka:juggle:mmh.. haya majibu ni mazito eti...
yaani huyu sarafina ananiongezeaga mahasila tu. mimi nataka kumwaga mabusara yeye hataki kubadilisha title? nimekasirika kweli aisee
si unaona lizzzy anajifanya starring katika hii sredi kwakuwa tumepigwa no entry. aombe hivi hivi title isibadilishwe yaani nina mapwenti ya kufa mtu leompe dawa kwanza
si unaona lizzzy anajifanya starring katika hii sredi kwakuwa tumepigwa no entry. aombe hivi hivi title isibadilishwe yaani nina mapwenti ya kufa mtu leo
Ila yanabebeka:juggle:
Hivi mpendwa ni nananke?
Unamjua mtu mwenye jina la WiseLady??:lol: