Wadada biashara matangazo..

Mkuu salary haitoshi ndo maana tunaona haya yakifanyika..600,000/=haijakatwa kodi mwenyewe hajajinulilia sijui nguo,landlord anamsubiri nje kuna ki-Passo cha mkopo kinataka wese duh akipiga hesabu aah anatiririka na vimin ili apate wa kushare nae shida zake na ukijipendekeza anakuzoa mzima mzima.
 
Kwasasa mabibi na mababu zetu ndo tunawategemea kwa busara. ...lakini huko tunakoenda mabibi na mababu ndo watakua wamekosa maadili kuliko hata wajukuu zao. ......mi nikikutanaga na mdada wa hivi huwa nakulaga 071...... mchana kweupe.....yaani namla kama sijui maana hakuna namna waliwe tu
 
Dah wanawake hawa watatuua kweli..
Akipita mbele ya mwanaume akiachwa basi atakuwa na mkosi
Huyo sio wakuachwa. ...yaani unamla mgongo kama humjui vile
 
Reactions: ydn
Shida sana mkuu...Ndo wanatuua hawa. Mana mtt km huo ukimuona anakupa vishawishi tu
 
Mkuu sasa hapo unawakomoa wao au unajikomoa mwenyewe
 
Duh yani dushe Lang limeshakasilika tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…