Wadada beware of destiny

Mimi naona kama hujasoma maana mtoa mada amesema huyu dada alikuwa na msimamo sana...mabazazi wote alikuwa anawapa cha mbavu hadi alipojitokeza huyu aliyebeba jumla
Aisee Khantwe naona nilipita na 180. Uko sahihi, ila mdada kakosea kumegwa na mume wa mtu hapo. Ila kwa huu umakini naomba nitangaze nia ya kubeba jumla na mimi. Tuonane upenuni basi tutete vizuri.
 
Aisee Khantwe naona nilipita na 180. Uko sahihi, ila mdada kakosea kumegwa na mume wa mtu hapo. Ila kwa huu umakini naomba nitangaze nia ya kubeba jumla na mimi. Tuonane upenuni basi tutete vizuri.

Hehehe....bahati ya mtende hii nitakutana nayo wapi tena mimi
 
Mwandishi anamaanisha wadada muwe mnachangamana na watu tofauti tofauti wake kwa waume mngali bado wasichana ili muzijue mbivu na mbichi na akili yenu ipanuke zaidi kijamii, ili mkiyapata ya jamii ( ikiwemo kuolewa na kuachika) muweze ku adjust vyema na kuendelea na life kama kawaida. Too much Strictness kama huyu dada, inakuweka mbali na reality ya maisha!
Nimemuelewa Mwandishi kihivyo!

ungesoma sana ungekuwa chizi!..yani hapa sasa ndo nimeelewa zaidi ya kuelewa!
Shukrani mkuu.
 
wee mi nimekaa hadi mbu wameanza kuning'ata
Khantwe na wewe umeanza kunirusha roho mamito? Sio hivo halafu ukizingatia mi nishafika bei basi naumia hadi kunako chini ya mtima. Basi ngoja nivumilie tu hivi hivi taratibu, nitakula hizo mbivu aka tamu one day.
 
Uvumilie nini tena hone? mimi nataka tuoane haraka ujue nimeshaenda kupima shela
 
Uvumilie nini tena hone? mimi nataka tuoane haraka ujue nimeshaenda kupima shela
Basi njoo hapa ghetto kwangu na hiyo shela tumalize biashara kabisa. Nakusubiri hapa yaani nimeandaa na mkuyati kabisa ili iwe siku maalum hii.
 
Mwisho wa siku Mungu pekee ndiye anayejua hatima yetu. Hadi unaamua kuolewa na mtu, wewe ndo unakuwa umeona "this is the right person for me". Hakuna ajuaye kesho yake, otherwise kuna sehemu/Vitu tusingevipitia kabisa as tunajua outcomes zake. Kuna watu wanakuwa wema sana mwanzoni lakini baadaye wanakuja kukubadilikia kutokana na mambo mbalimbali.

Kuna wadada ambao walijitunza, wana heshima sana wana tabia nzuri yani Kila kitu kuhusu wao kipo ok, but hizo ndoa zao Daah hutotamani uzione. Mapito wanayoyapitia ni Mungu pekee anayejua. Hamna mahali walipokosea, hakuna dhambi kubwa sana waliyoifanya kuliko sisi but Mungu ana makusudi kuwapitisha wanapopitia. Sometimes unapitishwa katika magumu fulani ili ujifunze kitu fulani au watu wengine wajifunze kupitia kwako. Mwisho wa siku tunasema "Mshukuru Mungu kwa Kila jambo". Na wala Tusipende kujudge sana as hatujui ni nini kimempata mtu fulani hadi akawa kwenye hali tunayoiona
 
kwahiyo iyo destiny inawapata wadada tu??? mie naona anapitia mitihan tu ya maisha na hiyo inawapata wote wadada na wakaka. so usimjaji coz hujui anachopitia maana hata ww hujui destiny yako.
 
Back
Top Bottom