[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwa takwimu hizo laiti ningekuwa mwanamke hiyo kesho ningeanza kuwapanga hapa kitaa...!!!hapo umesahau ile pasenti ya machizi,maplay boy nao lazma wahusike ktk kupunguza idadi ya wanaume coz wao ni wazee wakupita pita tu yaani km hawapo wao hawatakagi mahusiano sijui baby baby wao ni kufumua na kusepa tu so sio watu wakuhesabiwa saana kweli wanaume wapo wachache dunia hii mtukubali jamani