PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,444
Kuna jirani yangu hapa chupi imepeperushwa na upepo ikaingia ndani kwake bila yeye kujua... Sasa demu wake ameikuta gheto mpaka sasa ni ugomvi..
Pia ndani kwake kuna viatu virefu vile vya kike (High heels), Demu wake amemuuliza ni vya nini.. Jamaa akajibu kwasababu yeye ni mfupi huwa anavitumia pale akitaka kuanika nguo anavivaa.. Au akitaka kuweka/kutoa vitu juu ya friji..
......