Wadada acheni hizo!

ndio wadada wa dot com hao
akienda kwny shughuli mwili
wote nje,mi hua sielew y?
labda mie mshamba hah!!
PL yaani wadada walinikosesha uhuru kabisa. Niliketi meza ya mbele kabisa pamoja na wazazi; Mc akialika watu waje mbele kucheza ilikuwa kivumbi, vivazi wakivyojivika na ushezaji wa kiwenda wazimu! Nilikuwa siwezi kuendekea kuketi na wazazi na kuwaona wakishuhudia wazimu wa watoto wao, wakija mbele kucheza mimi nilikuwa nasepa kiaina, nahamia meza nyingine.
 

aisee pole sana
wenyewe hapo walikua
wanajiona wametokelezeaa!!
ndio dunia yetu inabidi upotezee tu!!
 
Acha ushamba wewe! Acha watoto wa kike wapendeze, hujui sisi wanaume ndio fahari ya macho kuangalia watoto wazuri kwenye shughuli kama hizi. Kama hupendi kuoana lala nyumbani hamna mtu aliekulazimisha kutoka..
Haloo kumbe tupo wengi! Mi naenjoy sana uvaaji wa wadada siku hizi. Naona kama maua fulani hivi!!! Sasa watu eti wanachukia. Ushauri wangu ni kuwa tufike mahala maisha binafsi ya mtu isiwe ishu kwa wengine. Tudeal zaidi na mambo ya msingi. Sasa mtu akivaa kimini inakuwaje ishu kwa mwingine aliyevaa suruali? Yeye si ndio anapenda kimini? Halafu sasa hii ni effect ya globalisation, utapambana nayo utaweza? U better find ways of accommodating it rather than fighting against. Unachukia mdada alivyovaa baadae unaenda vizia changudoa, sasa wewe na mvaa hovyo nani bora! Tutaweza kupiga hatua kimaendeleo endapo tu tutaelekeza nguvu zote kwenye ishu za msingi.
 
Mavazi yapo yakumfanya mwanamke apendeze na kuwa na muonekano mzuri lakini c yakuacha maungo muhim nje kama maziwa au kitovu au mapaja. vaa vizuri kistaarab utatokelezea. sasa wewe ukishamuona kaka uchi haraf baada ya hapo unapata faida gani??
Hivi si ndivyo wanaume wanapenda hasa wa mujini maana kila kitendwacho na mwanamke huwa kimesababishwa na mwanaume. Wangekua wanaume wanapenda mavazi ya heshima basi wanawake wangevaa humu jamvini wanasema hawayapendi lkn wakienda sehemu hizo huvutiwa nao. Tena masponsor wakubwa wa mavazi hayo ni wanaume. Ni kweli jamii yetu imepoteza mwelekeo sasa tusaidiane hasa ktk familia kuwalea kimaadili watoto wetu na ndugu tunaoishi nao , pia wababa pazeni sauti kwa wake zenu pindi wavaapo nguo ambazo zina walakini.
 
Mkuu usipate tabu kuna wife materiala na sex material,sex material kazi yao ni kushabikia send off na harusi za wenzao,kazi yao ni kutembea nusu uchi alafu isitoshe TZ wanawake ni wengi sana 4 in every 5 five citizen so madunga embe lazima yawepo
 
Hapo ndo safi gegeda vibaya sanaaaaa acha kulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…