mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
Jamani kuna wadada wana tabia za ajabu sijawai ona kwanza hana huruma na boyfriand wake siku ukimwambia unamtoa out atakuja na wenzake kama wawili au mmoja saa zingine wa 3 ,mwengine anaweza kuwahi sehemu mliyopanga kukutana akiwa na mwenzake kabla hujafika wataagiza soda.
Ukifika tu Savanna zinaanza mwingine mmekutana tu hajui hata mfuko ulivyo akija waiter ni mwendo wa Savanna na kama kuna Pizza hapo ulipo itaagizwa tu halafu wanachagua watu utakuta mko sehemu labda ya starehe kwako anakomaa na Savanna akiwa hapo hapo utakuta huyo kaja na Castle Lite.
Yaani siku hizi na mimi hata kama uwezo upo nitakaa sehemu ambayo najuana na mhudumu yaani yule mhudumu namwambia kabisa hapa wakija hawa wageni sema kuna Local beer tuu hakuna Saint Anna, wala Savanna, hao hao wakiona hivyo vitu hakuna watakunywa kilichopo.
Yani ni siku hizi ni full vurugu