Mafwi Munda JF-Expert Member Joined Nov 30, 2017 Posts 1,749 Reaction score 1,605 Feb 20, 2018 Thread starter #41 ngonyango said: mbona huwa yanarudi? Click to expand... Hahaha mapepo pia hayataki kelele, ukiombewa yanatoka kwa muda, ukimaliza maombi yanarudi nyumbani.
ngonyango said: mbona huwa yanarudi? Click to expand... Hahaha mapepo pia hayataki kelele, ukiombewa yanatoka kwa muda, ukimaliza maombi yanarudi nyumbani.
dalalitz JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 3,476 Reaction score 2,087 Feb 20, 2018 #42 adden said: Hakuna mtu aliwahi kuona pepo!hizo ni mbinu za kupigwa ela tu.wanawake wakishakuwa hawarizishwi ndo wanakuwa na mapepo!embu wapeni wake zenu dozi vizuri usiku na mchana uone kama ataenda kutolewa mapepo Click to expand... Sawa Mchungaji, Pacha wa Tito.
adden said: Hakuna mtu aliwahi kuona pepo!hizo ni mbinu za kupigwa ela tu.wanawake wakishakuwa hawarizishwi ndo wanakuwa na mapepo!embu wapeni wake zenu dozi vizuri usiku na mchana uone kama ataenda kutolewa mapepo Click to expand... Sawa Mchungaji, Pacha wa Tito.
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,355 Reaction score 16,401 Feb 20, 2018 #43 Katika mnyama asiyependa mapepo ni nguruwe yuko radhi kujiua kuliko kukaa na mapepo
dalalitz JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 3,476 Reaction score 2,087 Feb 20, 2018 #44 Mafwi Munda said: Inabaki kwenye server, cloud store yako. Ukihitaji una i download tena Click to expand... Kuzilinganisha dhana hizo Mbili ki hivyo ni dalili ya kufilisika hoja.
Mafwi Munda said: Inabaki kwenye server, cloud store yako. Ukihitaji una i download tena Click to expand... Kuzilinganisha dhana hizo Mbili ki hivyo ni dalili ya kufilisika hoja.
Rebeca 83 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 15,667 Reaction score 33,684 Feb 20, 2018 #45 Obama wa Bongo said: yanabaki huko huko kanisani kwa mwenye nayo,Mfano Gwajima aliamuru pepo aende kwa bashite ,pepo akakata akasema aingiliki yule nabakia hapa hapa..... Click to expand... πππππππππππππ
Obama wa Bongo said: yanabaki huko huko kanisani kwa mwenye nayo,Mfano Gwajima aliamuru pepo aende kwa bashite ,pepo akakata akasema aingiliki yule nabakia hapa hapa..... Click to expand... πππππππππππππ
Mafwi Munda JF-Expert Member Joined Nov 30, 2017 Posts 1,749 Reaction score 1,605 Mar 6, 2018 Thread starter #46 Wachungaji wametutoa mapepo yameturudia tena