Mafwi Munda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 1,750
- 1,605
[emoji23] [emoji23]yanabaki huko huko kanisani kwa mwenye nayo,Mfano Gwajima aliamuru pepo aende kwa bashite ,pepo akakata akasema aingiliki yule nabakia hapa hapa.....
Hahaha mbona vyangudoa ndio wanasemwa kuwa na mapepo?! Wanapata dozi kuubwa lakini still wanarudi site kusubiri wateja, dozi kiasi gani hutoa pepo?!Hakuna mtu aliwahi kuona pepo!hizo ni mbinu za kupigwa ela tu.wanawake wakishakuwa hawarizishwi ndo wanakuwa na mapepo!embu wapeni wake zenu dozi vizuri usiku na mchana uone kama ataenda kutolewa mapepo
Hahaha sasa sisi wala nguruwe tunasalimika?! Au pepo hutoka akichomwa?!Kwenye NGURUWE mkuu.
Yale mapepo aliyoyatoa Yesu kwa yule mgerasiKuna hadithi kwenye Biblia huwa inasema, Yesu aliwahi kutoa mapepo na ajayaamuru yaingie kwa Nguruwe(kiti moto). Sasa hawa wachungaji wa zama hizi wanapotoa mapepo, huyaamuru yaende wapi?! Enzi hizooo pale viwanja vya Jangwani mapepo yalikuwa yakitoka sanaa,
Hata Gwajima pale viwanja vya Tanganyika packers alitoa sana mapepo, lakini huwa hawayaamuru kwenda popote, je ndio kusema hayana pa kwenda au yanaishi wapi?!
Hivi hawa ngurue wa zama hizi bado wanayo yale mapepo yaliyoelekezwa kwao au wale ni specie ya kule middle east tu?!
Huwa yanatokea wapi?!Yanaenda yalikotoka
Yale mapepo aliyoyatoa Yesu kwa yule mgerasi
Yaliomba yenyewe yaende kwenye kundi la nguruwe
Hivyo nguruwe wote walioingiwa wale mapepo walikufa maji
Hivyo mapepo yali suffocate baharini au nguruwe walikufa maji mapepo yakaogelea?! Au ndiyo mapepo nasikia huwa yanaishi baharini?!
Kumbuka kuwa ilikuwa Ni kundi moja la nguruwe
Ikumbukwe kuwa sio Kila pepo lilikuwa likitolewa kwa watu lilikuwa likienda kwenye nguruwe
Kifupi tu Ni kuwa
Wale pepo waondokapo hurudi kwa aliyewatuma (wakala wa shetani)
Mf mganga wa kienyeji ,mchawi ,
Au hata shetani mwenyewe
Pepo anapmtoka mtu
Mtu huyo hubaki hubaki salama
Pepo anatafuta sehemu ambayo hakuna Moto
Anamuingia
Ndiyo hayo huishi baharini siku hiziYale mapepo aliyoyatoa Yesu kwa yule mgerasi
Yaliomba yenyewe yaende kwenye kundi la nguruwe
Hivyo nguruwe wote walioingiwa wale mapepo walikufa maji
Kumbuka kuwa ilikuwa Ni kundi moja la nguruwe
Ikumbukwe kuwa sio Kila pepo lilikuwa likitolewa kwa watu lilikuwa likienda kwenye nguruwe
Kifupi tu Ni kuwa
Wale pepo waondokapo hurudi kwa aliyewatuma (wakala wa shetani)
Mf mganga wa kienyeji ,mchawi ,
Au hata shetani mwenyewe
Pepo anapmtoka mtu
Mtu huyo hubaki hubaki salama
Pepo anatafuta sehemu ambayo hakuna Moto
Anamuingia
Ndio maana wanasema Nguruwe inatakiwa ichomwe au ikaangwe katika moto mkali sana mkuu. Ili hao jamaa wasepe pia. Hahahaa.Hahaha sasa sisi wala nguruwe tunasalimika?! Au pepo hutoka akichomwa?!
Mkuu, kwani wew ukidelete picha kwenye simu yako inaenda wapi?Kuna hadithi kwenye Biblia huwa inasema, Yesu aliwahi kutoa mapepo na ajayaamuru yaingie kwa Nguruwe(kitimoto). Sasa hawa wachungaji wa zama hizi wanapotoa mapepo, huyaamuru yaende wapi?!
Enzi hizooo pale viwanja vya Jangwani mapepo yalikuwa yakitoka sana. Hata Gwajima pale viwanja vya Tanganyika packers alitoa sana mapepo, lakini huwa hawayaamuru kwenda popote, je ndio kusema hayana pa kwenda au yanaishi wapi?!
Hivi hawa ngurue wa zama hizi bado wanayo yale mapepo yaliyoelekezwa kwao au wale ni specie ya kule middle east tu?!
Akili yako ulishawekeza kwenye kiwanda hichoHakuna mtu aliwahi kuona pepo!hizo ni mbinu za kupigwa ela tu.wanawake wakishakuwa hawarizishwi ndo wanakuwa na mapepo!embu wapeni wake zenu dozi vizuri usiku na mchana uone kama ataenda kutolewa mapepo
Hahaha Dunia peke yake ndiyo ina uhai, hakuna kwingine yataishi.Yanakwenda kwenye ulimwengu wao
Inabaki kwenye server, cloud store yako. Ukihitaji una i download tenaMkuu, kwani wew ukidelete picha kwenye simu yako inaenda wapi?