shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,189
- 10,519
"Mshangilie yesu kwa makofi mama njoo hapa mbele"๐๐๐๐๐" Huyu mama Alikua hatembei kwa miaka kumi, baada ya maombi yako kasimama na kutembea Apostle "
"Mshangilie yesu kwa makofi mama njoo hapa mbele"๐๐๐๐๐" Huyu mama Alikua hatembei kwa miaka kumi, baada ya maombi yako kasimama na kutembea Apostle "
Apostle " Mama nani amekuponya?""Mshangilie yesu kwa makofi mama njoo hapa mbele"๐๐๐๐๐
Sasa kwanini uchague jina baya km hilo wakati yako mengi tu mazuri,km vile Fall Army worm,nk.Hili jina tuuu la utani, not reality