Wachungaji baadhi yenu mnakera

Sasa mkuu kwani wewe hutaki kuokoka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakumbuka maza angu mkubwa alipewa uzee wa kanisa. Watakuwa walikuwa wanamvuna haswa na ukaribu aliokuwa nao na yule mchungaji sina shaka alikuwaga anamgonga kabisa.

Maana mchungaji alikuwa kitu special sana yani. Nshapeleka sana bahasha kwake.
Washamchungulia huyo

Kanisani wanakaaga mbele kabisa wanawekwa

Ova
 
Wasanii sana hao watu wakimteka kiakili mwanamke wako kazi unayo wana kauli mbiu ya kuwamaliza wanawake kuwa mume na mungu bora nini wakati mungu aliyesema ndoa na ziheshimiwe.
 
Wasanii sana hao watu wakimteka kiakili mwanamke wako kazi unayo wana kauli mbiu ya kuwamaliza wanawake kuwa mume na mungu bora nini wakati mungu aliyesema ndoa na ziheshimiwe.
Mwanamke akishaingia kwa hao manabii sahau heshima kwako tena yaani ataamini kila anachoambiwa na nabii na humwambii kitu akakuelewa ndy maana ni rahisi sana kutiwa
 
Mkuu Wanajaribu Kuwa Karibu Nawe Ili Uwe Mshirika Hai.


Si Mtu Wa Kuuzulia Ibada Na Kukimbia Hutakiwi Kuwa Kama Shabiki Wa Mpira.

Wanatamami Ushiriki Katika Huduma Za Kanisa Kama Kusambaza Injili Kwa Njia Ya Uimbaji, Kusoma Na Kuhubiri, Kutembelea Wagonjwa, Kusaidia Wasiojiweza Na Mambo Mengine Yafananayo.

Upatapo Muda Penda Kushiriki Kwenye Nyumba Za Ibada Kujifunza Maneno Ya Mungu.
 
Hao watu ni wachawi mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…