Wachumi tumsaidie Magufuli Ninaona Tatizo kubwa la Ajira ambalo halijawa kutokea Tanzania


Econometrician

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Messages
9,196
Likes
9,046
Points
280
Econometrician

Econometrician

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2013
9,196 9,046 280
Ninasema hivi kwa sababu duniani kote hamna tatizo kubwa la kiuchumia kama kama la kukosa Ajira ( unemployment),ukiangalia trend ya nchi yetu utagundua hili.
1.Hadi sasa kwa Tanzania Serikali ndio mwajiri mkubwa hii inatokana na kukosa viwanda vingi vya kuajiri na ndio maana Mr.Kikwete aliliona hilia akaanzisha Wizara na Gvt departments nyingi ili kuongeza Ajira.Kumbukeni hadi sasa kuna wizara karibu 4 zimeungana Mfano mdogo Wizara ya Afrika Mashariki na Wiazara ya Mambo ya Nje,itabidi hawa wafanyakazi wa wizara ya afrika mashariki watafutiwe ofisi nyingine za serikali wapelekwe hivyo ivyo kwa wizara zingine.
bado kuna mpango wa kupunguza idara na vitengo kwenye halmashauri zote ziwe 8 badala ya 16 na tunajua fika watu wengi huajiliwa ktk halmashauri hizi.
2.kwa takwimu inaonyesha zaidi ya wanafunzi wa vyuo 100,000 na zaidi
humaliza kila mwaka Je hawa wanafunzi watakwenda wapi??????
huku hata yule aliyopo kwenye ajira yake hana uhakika na ajira yake

Tatizo kubwa la viongozi wa nchi yetu tupo kimkakati wa kupata kula za miaka 5 ijayo na si Tanzania ya miaka 50 ijayo ndio maana tunataka matokeo ya miaka 5 hatuangalii madhara ya miaka 5 ijayo baada ya hayo mafanikio ya miaka 5.
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,148
Likes
9,866
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,148 9,866 280
Mkuu, sidhani kama ni sahihi kwa ajira kutengenezwa kwa kutanua ofisi za umma. Hoja ya msingi hapo ni SEKTA BINAFSI. Serikali inapaswa kuangalia mahusiano yake na biashara zilizopo badala ya shughuli hii ya kuwashusha malaika wawe mashetani.
 

Forum statistics

Threads 1,235,738
Members 474,742
Posts 29,233,162