Wachumi tuambieni parameters atakazotumia makonda kushusha bei za vinywaji

Je?
1.TRA ITASIMAMISHA WAJIBU WAKE KWA 6 HRS?

2.MASHINE ZA MALIPO ZITAKUWA MUTED?

3.SERIKALI ITATOA SUBSIDY?

AU ITAKUWAJE? maana naibu rahiisi kasema hashindwi kwa tangazo hili lisilo na mipaka ndani ya jamhuri!

Mbeya jiandaeni kula gambe!!
Ukinijulisha atashusha kwa asilimia ngapi nitakufahamisha atatumia njia ipi.
 
Je?
1.TRA ITASIMAMISHA WAJIBU WAKE KWA 6 HRS?

2.MASHINE ZA MALIPO ZITAKUWA MUTED?

3.SERIKALI ITATOA SUBSIDY?

AU ITAKUWAJE? maana naibu rahiisi kasema hashindwi kwa tangazo hili lisilo na mipaka ndani ya jamhuri!

Mbeya jiandaeni kula gambe!!

Some things are better left to time to tell! ...If the trigger event occurs, but he fails to live to his promise, then ask him. After all, the statement is imprecise. The price reduction could be as little as 5/=, 10/=, or 50/=. Why would an inconsequential price reduction matter?
 
Ninachojiuliza hivi kutoa ahadi ya kushusha bei ya vinywaji baada ya mechi kunasaidia kuongeza morali ya wachezaji na kuleta hamasa kwa mashabiki?
Mashabiki tu hapo, ila sasa labda hizo gharama anazopanga kuwalipia pombe mashabiki angezipeleka Stars kwa kuwaahidi zawadi kwa kila goli watakalofunga, na ushindi kwa jumla.
 
Back
Top Bottom