Kiluvya2011
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 215
- 31
Wachina wa kampuni ya chiko wavamia kituo cha polisi babati na kutoa kichapo kwa polisi, ktk taflan hiyo wafanyakazi watatu wa kampuni ya wachina wapo hoi kwa majeraha...kisa gali lao kugongwa na basi na kukata site mirror...source radio one breaking news
Mwenye habari zaidi atujuzi.
Hawa Wachina ni wazwekezaji au makarateka?Wachina wa kampuni ya chiko wavamia kituo cha polisi babati na kutoa kichapo kwa polisi, ktk taflan hiyo wafanyakazi watatu wa kampuni ya wachina wapo hoi kwa majeraha...kisa gali lao kugongwa na basi na kukata site mirror...source radio one breaking newsMwenye habari zaidi atujuzi.
Hawa Wachina ni wazwekezaji au makarateka?
Wangenikuta mimi wangekoma kuzaliwa.Hawa Wachina ni wazwekezaji au makarateka?
Wangenikuta mimi wangekoma kuzaliwa.
Usiwe na majotro mkuu
Wachina wa kampuni ya chiko wavamia kituo cha polisi babati na kutoa kichapo kwa polisi, ktk taflan hiyo wafanyakazi watatu wa kampuni ya wachina wapo hoi kwa majeraha...kisa gali lao kugongwa na basi na kukata site mirror...source radio one breaking news
Mwenye habari zaidi atujuzi.
Hawa ni wakandarasi wa ujenzi wa barabara na hawana makuu wanabeba tofali.zege na sementi kwa hiyo ni watu wa kazi polisi watakuwa wameipata fresh.Hawa Wachina ni wazwekezaji au makarateka?
ila hawa wachina wanaojenga barabara ya babati - singida wamezidi ubabe na kujichikulia sheria mkononi wanapiga wananchi, wafanyakazi wao, yaani ni wanyanyasaji na wazarilishaji ili polisi nao inawagwaya wana kesi kibao za kupiga watu ila wanapeta tu sijui nani yuko behind them. No wonder dereva mmoja wa katapila alimshushia kijiko mchina na kumuua hapo hapo afu yeye akasepa bila kubughudhiwa na wafanyikazi wenzake