kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Idada ya watu walio kufa wakiwa wanafanya mapenzi imeongezeka. Wapenzi wameanguuka wakiwa wapo kwenye Hot sex kutoka gorofa ya kumi baada ya dilisha walilo kuwa wameegemea kufunguka ghafla na wao kushidwa kupata balance. Kwa mujibu wa mashuhuda, walisema wapenzi hao wakati wakiwa wanaanguka walikuwa wamekumbatiana. Kutokana na hali ya hewa kuwa ya hot weather katika jiji la Wuhan, wapenzi wengi hufanya mapenzi madirishani to keep the cool.