..hilo sina uhakika, ninachojua ni kuwa hawa Wachina kwao ni mwiko kurudi na mtoto aliychanganya damu na non-chinese hasa blacks. Matokeo yake mtoto atakayepatikana katika ndoa hizo basi hataweza kutambuliwa/kukubalika kuwa ni mchina atabaki kuwa mtanzania tu! Hii ilitokea huko Kiwira Coal Mine (Tukuyu), wachina walizaa sana na dada wa Kinyakyusa wakaishia kulipa tu vifedha kidogo ili kuzima soo, lakini wakakataa katakata kuondoka na watoto wao muda wa mikataba ya wachina ulipoisha. Ushingae leo hii ukikuta kijana mwenye damu ya Kichina akijitambulisha kuwa yeye ni Mnyakyusa na anakichapa kilugha kwa saaaaana....mughonile ngada mwe!