kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,493
UMESHAONJA VISIVYOLIWA KWANI UNAFIKRI SIO WATAMU.NGOJA NIKUTUMIE MPAKA VIDEO CLIP YA MBWA MJAMZITO ANAPASULIWASiti ya kwanza. Hiyo picha tu wame photo shop.... Nenda Sichuan China.... Msosi mtamu balaaa
Doggy Dogg WorldWachina pamoja na kula vyakula vingi vya ajabu kama nyoka,mende na punda.Hii tabia yao ya kumpasua mbwa mwenye mimba ili eti watoe watoto kwa ajili ya kitoweo inatia kichefu chefu.Wao wanaamini kuwa nyama ya vitoto vya mbwa vilivyomo tumboni mwa mama yake vina radha nzuri na chembechembe zinazoweza kumsaidia binadamu kujikinga na baadhi ya magonjwa.kwa huu utaratibu wa wachina kula kila kitu sijui kama mimi nitaamini nyama yeyote nikiwa kwao na nikaila.Ni afadhali labda kula mboga za majani tu.sijui wenzetu mnaoenda kufanya biashara huko china uzoefu wenu wa chakula huko upoje? huwa mnakula nini?
View attachment 646482 View attachment 646485
Hawa jamaa bdio maana maghorofa yao huwa hayana EXPANSION JOINT vyakula kama mbwa na mende vinawaongezea akili sana he heHawa wanakuwa kila kinachopumua na kutembea
Nilijaribu mara ya kwanza nilitapika restaurant baada tu ya kula mara ya pili nilipoteza funguo ndipo niliposurrenderDada sky ushawah kula misos yao?
Nilijaribu mara ya kwanza nilitapika restaurant baada tu ya kula mara ya pili nilipoteza funguo ndipo niliposurrender
Halafu tunakataa kula hawa wanyama halafu tunakunywa dawa kutoka kwao ambazo hatujui wametengenezea nini? labda wametumia hawa hawa wadudu! angalia supu ya nyoka hiyoMsiwapuuze !! uzembe wenu wa kutafakari, mila zenu ambazo hazijawafikisha popote zaidi ya kuwaletea umaskini, dini mlizoletewa na wageni mkaacha kula vitu ambavyo vingewafanya muishi maisha marefu na k uwa na akili nyingi. Ninyi wachekeni tuu mtaendelea kutumia kila kitu MADE IN CHINA. kwa maana wao vyakula wanavyokula vinawapa uwezo mkubwa wa kufikiri.Ninyi endeleeni na miiko yenu ya kabila na dini
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Halafu tunakataa kula hawa wanyama halafu tunakunywa dawa kutoka kwao ambazo hatujui wametengenezea nini? labda wametumia hawa hawa wadudu! angalia supu ya nyoka hiyo
View attachment 646505