Ijumaa Kareem,
Moja kwa moja, Kumbe wasambazaji wa filamu za Hollywood hulazimika kubadili posters za movie zenye waigizaji weusi kwa kuwatoa au kuwaficha ili wasionekane kwa wapenzi wa filamu nchini China. Hii ni kwa sababu filamu zenye main characters weusi au characters weusi hufanya vibaya kimauzo China.
Mfano Black Panther movie inayohusu Shujaa wa Kiafrika iliojaa waigizaji weusi ilivuja rekodi mbalimbali kwa mauzo ya 1.344 billion USD (hata mimi nilienda cimema kuiona hii

), huko China ilitengeneza 105,062,459 USD lakini mafanikio haya ni baada ya kufanyiwa promotion kubwa China iliohusisha kufichwa kwa sura main character kwenye posters katika matangazo yake mbalimbali.
Kwa kutumia kielelezo hiki nauliza, Je hivi ni kweli wachina ni wabaguzi kiasi hiki?
View attachment 2155177View attachment 2155178View attachment 2155179View attachment 2155181View attachment 2155180View attachment 2155182
View attachment 2155187