Wachina nao ni wabaguzi?

Wachina nao ni wabaguzi?

Rockefeller

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
1,209
Reaction score
2,263
Ijumaa Kareem,

Moja kwa moja, Kumbe wasambazaji wa filamu za Hollywood hulazimika kubadili posters za movie zenye waigizaji weusi kwa kuwatoa au kuwaficha ili wasionekane kwa wapenzi wa filamu nchini China. Hii ni kwa sababu filamu zenye main characters weusi au characters weusi hufanya vibaya kimauzo China.

Mfano Black Panther movie inayohusu Shujaa wa Kiafrika iliojaa waigizaji weusi ilivuja rekodi mbalimbali kwa mauzo ya 1.344 billion USD (hata mimi nilienda cimema kuiona hii), huko China ilitengeneza 105,062,459 USD lakini mafanikio haya ni baada ya kufanyiwa promotion kubwa China iliohusisha kufichwa kwa sura main character kwenye posters katika matangazo yake mbalimbali.

Kwa kutumia kielelezo hiki nauliza, Je hivi ni kweli wachina ni wabaguzi kiasi hiki?View attachment 2155177View attachment 2155178View attachment 2155179View attachment 2155181View attachment 2155180
271.jpg

View attachment 2155187
 
Ijumaa Kareem,

Moja kwa moja, Kumbe wasambazaji wa filamu za Hollywood hulazimika kubadili posters za movie zenye waigizaji weusi kwa kuwatoa au kuwaficha ili wasionekane kwa wapenzi wa filamu nchini China. Hii ni kwa sababu filamu zenye main characters weusi au characters weusi hufanya vibaya kimauzo China.

Mfano Black Panther movie inayohusu Shujaa wa Kiafrika iliojaa waigizaji weusi ilivuja rekodi mbalimbali kwa mauzo ya 1.344 billion USD (hata mimi nilienda cimema kuiona hii), huko China ilitengeneza 105,062,459 USD lakini mafanikio haya ni baada ya kufanyiwa promotion kubwa China iliohusisha kufichwa kwa sura main character kwenye posters katika matangazo yake mbalimbali.

Kwa kutumia kielelezo hiki nauliza, Je hivi ni kweli wachina ni wabaguzi kiasi hiki?View attachment 2155177View attachment 2155178View attachment 2155179View attachment 2155181View attachment 2155180View attachment 2155182
View attachment 2155187

Sasa kama Mafrika anambagua mweusi mwenzake unadhani wengine hawatatubagua?

Hivi unajua Mtanzania atampendelea mzungu kwa asilimia 80% kuliko kukupendelea wewe?
 
Mkuu,unaweza niambia sababu za kina Lebron,Kobe,na wanamichezo kadhaa weusi kufanya vizuri sana China..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Kwa sababu wanajua! Basketball imetawaliwa na blacks lazima mashabiki wa basketball wawapende blacks. Hata hapa bongo wanaopenda basketball wanapenda sana u black America
 
Si wachina,wahindi,waarabu,wazungu wote wabaguzi hivi hawajifunzi wakija Africa wanavyooneshwa upendo,,ila ipo siku Africa itakua juu tu na ndio kitu wanachoogopa hawa mbwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom