Wachina na bongo yetu!!!!

Wachina na bongo yetu!!!!

Sekema

Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
55
Reaction score
12
Hivi hawa jamaa wanamalengo gani na maisha ya watanzania? Siku ya x-mas mida ya saa tisa nilikuwa maeneo ya Quality Centre ndani ya duka moja linalouzwa vipodozi na marashi (perfums). nilipoingia nilimkuta mchina mmoja anajaribisha kwa kujipulizia karibia kila perfum aliyokuwa anaiona akafuta ''concetration'' yangu kwake kumuangalia yeye na kuacha kilichonipeleka pale, mbali na kujipulizia alikuwa anazipiga picha kuanzia chupa ya hiyo perfum box lake pamoja na maandishi yaliyoko kwenye hilo box la bidhaa husika. nikawauliza wale wahudumu kuhusu kinachoendelea juu ya yule mchina na bidhaa yake maswali yafuatayo;
1. Jamani huyo jamaa anashida ya kununua au analake? nikaambiwa 'kaka hata sisi tunashangaa maana tangia kaja ni masaa mawili na nusu yanakatika yupo tu hata hanunui.
2. Nikawauliza tena kuwa anachofanya si ni uharibifu? maana karibia kila perfum anaijaribisha ina maana hafaham ni perfum gani ainunue, na je mtanzania wa kawaida mnawewza kumruhusu afanye kitu kama hicho? Wakabaki kimya bila jibu.
3. Nikawauliza tena, tajiri (mmiliki), au msimamizi wa duka yupo? wakanijibu hayupo.

4. Nikawauliza mmnafaham malengo yake huyo bwana? wakaniambia wao wanajua kuwa ni mteja kama wateja wengine ila wanashangaa yupo pale mda mrefu na wala hanunui.

Mwisho nika hitimisha kwa kuwaambia kwamba... Hawa jamaa ndio wanaotutengenezea perfum feki then wanaharibu afya zetu pamoja na kuwaharibia soko la bidhaa zenu lkn pia wanaharibu soko la yule anayetengeneza perfum halisi 'original'.

Jamani hivi kuna LOLOTE SERIKALI YANGU TUKUFU INATAMBUA KUHUSU HAWA JAMAA NA BIDHAA ZAO WANAZO ZITENGENEZA KATIKA VIWANGO DUNI NA HATARISHI KWA MAISHA YA WATANZANI? NA NINANI ANAHUSIKA KTK HILO NA ANAFANYA NINI ILI KUZUIA JAPO KWA KIDOGO UWEPO WA HAO WATU WANAOZITENGENEZA BIDHAA HIZO? Tafadhari maoni na michango wana jamii!!
 
Mkuu,hao wahudumu ni mapimbi,angekua mbongo hapo wangemtimua.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hii ndiyo kazi inayofanya serikali yako tukufu, kuingiza wachina kuja kufyatua makanjanja
 
Kwanini wewe usimuulize huyo mchina ana lengo gani badala ya kubaki na hisia zako.
 
hii ndiyo kazi inayofanya serikali yako tukufu, kuingiza wachina kuja kufyatua makanjanja
Si kweli, Hao wahudumu ni katuni au!
we mtu ajiulizie perfume 3 hilo dukaaaa? au nini! Sisi tusiilaumu serikali, mchango mkubwa katika hili ni sisi.

Wangekuwa wao hata kufungua huwezi, halafu lazima akuulize unataka aina gani? useme. siyo kujaribu tu.

Mimi nilimwona Mtu mmoja (African) akifukuzwa duka moja la mchina kisa kuomba apunguziwe bei, akacheka maana alipunguza 10!
 
Walikuwa wanadhani mchina atawatongoza ndo maana walikuwa wanaogopa kumtimua
Hii yawezekana , kubwa ni kuwa hawa wahudumu nao wana lao, au mbumbumbu!, au wamelazimishwa kufanya kazi,
au duka la Muhindi! ........,....., nk
 
Ndiyo zao hao subiri baada ya wiki mbili zitakuwa sokoni tena kwa bei ndogo sana, maana wana machine ndani ya nyumba zao. Hao wanaitwa Alibaba, wazungu wenyewe wamechemka kuwadhibiti.
 
Gwangambo uko sahihi nilikumbuka kufanya hivyo baada ya kuondoka lile eneo maana hiyo hoja ilipamba moto nilipokuwa nimeondoka na kuingia uchumi supermarket of course nadhan ningeyapata mengi!
 
Kama hilo duka wanaruhusi kujaribisha perfume halikuwa kosa kwa mchina kufanya hivyo hata akijaribisha perfume zote. vile vile angeweza kuzinunua akaenda kuzijaribisha kwake na usijue chochote.

Kupiga picha nako si tatizo. Hkuna sheria inayozuia, hata wewe unaweza ukaenda supermarket au dukani ukapendezewa na vitu ukapiga picha kwa kumbukumbu au umwonyeshe mwenzako au rafiki yako uje kununua baadae.

Bidhaa feki zinatengenezwa nchi mbalimbali hata hapa bongo kuna watu wanatengeneza bidhaa feki.

Tatizo linakuja kwenye mamlaka yetu kama TRA, TBS Na TFDA ambayo wanahusika na udhibiti wa bidhaa pamoja na uzembe wa viongozi wa serikali. Bidhaa nyingi feki zinapitishwa bamdarini kwa mipango.

Serikali na hizi mamlaka wako kwenye ufisadi hawajali afya za wananchi. Wakiamua kufanya kazi hata mwezi hauishi, bidhaa feki zote zitakuwa haziko mitaani.

Kwa hiyo ndugu yangu msilaumu wachina wala wakenya wala wanaigeria. tatizo ni mamlaka zetu.
 
Kwa hiyo ww unamaanisha hata mwizi ajaye nyumbani kuiba asilaumiwe bali alaumiwe mwenye nyumba kwa kutokuweka geti au mlango wa chuma????
Kama hilo duka wanaruhusi kujaribisha perfume halikuwa kosa kwa mchina kufanya hivyo hata akijaribisha perfume zote. vile vile angeweza kuzinunua akaenda kuzijaribisha kwake na usijue chochote.

Kupiga picha nako si tatizo. Hkuna sheria inayozuia, hata wewe unaweza ukaenda supermarket au dukani ukapendezewa na vitu ukapiga picha kwa kumbukumbu au umwonyeshe mwenzako au rafiki yako uje kununua baadae.

Bidhaa feki zinatengenezwa nchi mbalimbali hata hapa bongo kuna watu wanatengeneza bidhaa feki.

Tatizo linakuja kwenye mamlaka yetu kama TRA, TBS Na TFDA ambayo wanahusika na udhibiti wa bidhaa pamoja na uzembe wa viongozi wa serikali. Bidhaa nyingi feki zinapitishwa bamdarini kwa mipango.

Serikali na hizi mamlaka wako kwenye ufisadi hawajali afya za wananchi. Wakiamua kufanya kazi hata mwezi hauishi, bidhaa feki zote zitakuwa haziko mitaani.

Kwa hiyo ndugu yangu msilaumu wachina wala wakenya wala wanaigeria. tatizo ni mamlaka zetu.
 
Wachina wanaumiza vichwa Dunia nzima,hakuna sehemu yeyote ambayo huwezi kukutana na bidhaa za mchina.
 
kwa hiyo waachwe wazalishe bidhaa fake kwa sababu wapo kila mahali hata kama kuna uwezekano wa kuzuia? naona sio sahihi.

Nani anaweza kuzuia bidhaa feki za wachina bongo?Kuna nchi ambazo zimepiga hatua kubwa katika kutokomeza rushwa,lakini mchina bado anapiga bao mpaka kesho.
 
Kama hilo duka wanaruhusi kujaribisha perfume halikuwa kosa kwa mchina kufanya hivyo hata akijaribisha perfume zote. vile vile angeweza kuzinunua akaenda kuzijaribisha kwake na usijue chochote.

Kupiga picha nako si tatizo. Hkuna sheria inayozuia, hata wewe unaweza ukaenda supermarket au dukani ukapendezewa na vitu ukapiga picha kwa kumbukumbu au umwonyeshe mwenzako au rafiki yako uje kununua baadae.

Bidhaa feki zinatengenezwa nchi mbalimbali hata hapa bongo kuna watu wanatengeneza bidhaa feki.

Tatizo linakuja kwenye mamlaka yetu kama TRA, TBS Na TFDA ambayo wanahusika na udhibiti wa bidhaa pamoja na uzembe wa viongozi wa serikali. Bidhaa nyingi feki zinapitishwa bamdarini kwa mipango.

Serikali na hizi mamlaka wako kwenye ufisadi hawajali afya za wananchi. Wakiamua kufanya kazi hata mwezi hauishi, bidhaa feki zote zitakuwa haziko mitaani.

Kwa hiyo ndugu yangu msilaumu wachina wala wakenya wala wanaigeria. tatizo ni mamlaka zetu.

wenzang porojoo nyingi yaani kama wewe umeshnindwa kujaribu unaona aya...xjui nani ndo mchina asifanye!, kumbuka pale ni supermarket uko free kutazama hata kujaribu bidhaa kama sera za hilo duka linaruhusu sidhani KAMA angefanya kitu ambacho kiko kinyume na sera zao wangemtimzama tuuu. Kweli ndo maana wabong tunanunua vitu famba, tutaweza kweli ushindani wa Africa Mashariki! huyu nae kaacha time yake ya kufanya shoppin anaanzaa kumtizama mchina anafanya nini..nimecheka kweli , hyo ni kazi ya SECURITY mule kuna mavideo camera, wafanyakazi hizo ndo kazi zao(ukienda kinyume na taratibu zao wanakufata mfano angekuwa anaficha perfyum kwenye koti wangemfata tu). Af pia pengine yule mchina anashare na hilo duka...yaani hapo kuna mambo mengi sana ambayo uwezi jua so ndo maana ilibidi ukeep time yako ufanye shoppin usepe zako kimya kimya.
 
Cyruss nadhan ww umeikurupukia mada husika by the way inaonesha hata pahala penyewe hupafaham vema lkn zaidi ni kwamba hata biashara yenyewe hujui taratibu zake. Kama ungekuwepo eneo la tukio na kuiona situation iliyokuwepo usingethubutu kuchangia mada hii kama ulivyoeleza hapa.
 
Back
Top Bottom