Nchi hii tuna misitu miti yakila aina lakini toothpick tunatoa China mie hubaki nashangaa, sasa jipange useme uanzishe kiwanda mlolongo wake mpaka wakupe kibali uwiii
Nenda pharmacy au supermaket....nunua shaving cream, unapaka hapo kwapani na huko bondeni unatulia dakika tano, chukua kitamba chenye maji unafuta tu nywele zote chini kipara swafi kabisa

huwa najiuliza sana
hivi kusambaa kwa bidhaa nyingi ambazo ni low quality au fake kabisaa shida ni wafanyabiashara kutaka faida kubwa au wanunuzi kupenda vya bei nafuu
naona hata zile simu feki zilizofungiwa miaka kadhaa nyuma zimeanza kurudi kwa kasi
Nenda pharmacy au supermaket....nunua shaving cream, unapaka hapo kwapani na huko bondeni unatulia dakika tano, chukua kitamba chenye maji unafuta tu nywele zote chini kipara swafi kabisa
Bado unanyolea viwembe? Ingia dukani nunua shaver, zipo Hadi za elfu 7, hapo wewe ni kuchaji tu na kutumia.....miwasho, mapele ya ndevu na maporomokoni utayasikia Kwa jirani.