Wachina Bana

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,138
Ati homework kufanyika barabarani......:lol::eyebrows::embarassed2:

 
Hahahahaaa hahahahaaaa haaaaaa! Asante sana mkuu. Nimeipenda sana hii. Kwa mchina kila kitu kinawezekana.
Hata nisipoangalia picha nyingine kwa leo inatosha.
 
Hahahahaaa hahahahaaaa haaaaaa! Asante sana mkuu. Nimeipenda sana hii. Kwa mchina kila kitu kinawezekana.
Hata nisipoangalia picha nyingine kwa leo inatosha.
Dah! nimeizimikia avator yako mkuu....
 
Hapo Labda kana paper ya kutengeneza G-TIDE yake ya double line au ka generator
 
Dah! nimeizimikia avator yako mkuu....

Asante mkuu. Nimepona mguu/mkono na kuondolewa lile pop (kama unaikumbuka avatar kabla ya hii) hivyo nina furaha.
 
Hakuna kupoteza muda! eti mpaka tufike!! time is more than money!!
 
tyme iz maney kwa wachina bana...he he he he he
 
hakuna dala dala za kuchomekea huko, lami smoothhhhhhhhh kama mezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…