Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Tafiti zinaonyesha kwamba, Tanzania ina takriban wachimbaji wadogo wa madini 680,000 ambao ukitazama kwa karibu hawapewi kipaumbele. Sasa jambo la kujiuliza, kwanini hawa wavuja jasho maskini hawapewi fursa sawa na wachimbaji wa kibepari?
Tangu Tanzania ikumbatie mfumo wa soko huria pamoja na masharti ya kuweka mazingira mazuri kwa mabepari (wawekezaji) wenye fedha kutoka Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) tunadhani nchi yetu itaweza kuendelea tu kwa kuwakaribisha wageni badala ya kutoa nafasi hizo kwa vijana wetu waweze kunufaika na rasilimali hizi ili kuwaletea tija.
Soma zaidi hapa => http://www.fikrapevu.com/wachimbaji-wadogo-wa-madini-wakiwezeshwa-watachangia-uchumi-wa-tanzania/