Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
Huyo wa kwanza!Kuna mchimbaji mmoja hapo lazima mgodi uishiwe madini kwa mbinu anazotumia kuchimba
Hazina!Asee pouwa hiyo migodi y wapi!
Haaaaaaaaaaaaaaa!Daaah halafu utakuta hana hata lesen ya kuchimbia...
Niliipenda sana hiyo movie pia!Red Scorpion unanikumbusha movie ya Dolf enzi hizoo...