Wachimbaji wa Madini

Wachimbaji wa Madini

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,099
Reaction score
438
Habari wanajamii,

Kama kuna mtu yoyote anahitaji ushauri kuhusu processing ya madini ya Dhahabu na Shaba tu,anaweza kuwasiliana na mimi mana kuna kampuni ya vijana yenye uzoefu na mambo ya madini hayo na pia kama kuna mtu anataka kuanzisha Plant yake kwa ajili ya kuprocess tails kwa kutumia Cyanide na anahitaji ushauri au Engineer wa kumtumia katika kusajili Plant yake,unaweza kuni pm na tutakusaidia katika kila jambo.

Wenu

Joel
 
Nipm ili nikupe contacts na tunadeal na dhahabu na copper tu
 
Nipm ili nikupe contacts na tunadeal na dhahabu na copper tu

Mzee kwani unauza uchawi?, si unafanya science na pia uko kwenye biashara, kwa nini usijiweke wazi tu pamoja na kazi mnazofanya, n dalili za kkukosa confidence na uhakika wa kazi,
 
Samahani kwa kutotoa contact,namba ni 0755979639 na natanguliza tena samahani kwa hilo
 
Back
Top Bottom