mugishajuma135 Member Joined Jul 12, 2018 Posts 36 Reaction score 16 Jul 13, 2018 #1 Habari wananchi... Natafuta watu ambao wanahusika na uchimbaji wa green tourmaline ndani ya Tanzania . Lengo hasa ni kufanya biashara na kuchimba pia! Asanteni
Habari wananchi... Natafuta watu ambao wanahusika na uchimbaji wa green tourmaline ndani ya Tanzania . Lengo hasa ni kufanya biashara na kuchimba pia! Asanteni
S Samwelbaruti Member Joined Dec 14, 2012 Posts 24 Reaction score 5 Jul 13, 2018 #2 mugishajuma135 said: Habari wananchi... Natafuta watu ambao wanahusika na uchimbaji wa green tourmaline ndani ya Tanzania . Lengo hasa ni kufanya biashara na kuchimba pia! Asanteni Click to expand... Habari, Mimi ni geologist naweza kukusaidia katika utafutaji, uchimbaji na biashara
mugishajuma135 said: Habari wananchi... Natafuta watu ambao wanahusika na uchimbaji wa green tourmaline ndani ya Tanzania . Lengo hasa ni kufanya biashara na kuchimba pia! Asanteni Click to expand... Habari, Mimi ni geologist naweza kukusaidia katika utafutaji, uchimbaji na biashara
mugishajuma135 Member Joined Jul 12, 2018 Posts 36 Reaction score 16 Jul 13, 2018 Thread starter #3 Samwelbaruti said: Habari, Mimi ni geologist naweza kukusaidia katika utafutaji, uchimbaji na biashara Click to expand... Nadhani itakuwa VZR ukiniambia ni wap germ nzur Zina patikana Kati ya Morogoro, Dodoma, Tanga au Arusha
Samwelbaruti said: Habari, Mimi ni geologist naweza kukusaidia katika utafutaji, uchimbaji na biashara Click to expand... Nadhani itakuwa VZR ukiniambia ni wap germ nzur Zina patikana Kati ya Morogoro, Dodoma, Tanga au Arusha
ngenganyi Member Joined Dec 8, 2014 Posts 7 Reaction score 3 Jan 4, 2020 #4 Samwelbaruti said: Habari, Mimi ni geologist naweza kukusaidia katika utafutaji, uchimbaji na biashara Click to expand... Nahitaji pia msaada wako, npm namba yako tufanye kazi
Samwelbaruti said: Habari, Mimi ni geologist naweza kukusaidia katika utafutaji, uchimbaji na biashara Click to expand... Nahitaji pia msaada wako, npm namba yako tufanye kazi
Tape measure JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,989 Reaction score 3,692 Jan 5, 2020 #5 Asee nenda maeneo ya mnazi ipo tanga nimewahi kushiriki utafiti na wahindi flan 2017 lakini majibu siyajui ilipatikana kwa asilimia ngapi? Na kama bado wapo zaidi nenda wizara ya madini utapata mapping survey data uamue mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
Asee nenda maeneo ya mnazi ipo tanga nimewahi kushiriki utafiti na wahindi flan 2017 lakini majibu siyajui ilipatikana kwa asilimia ngapi? Na kama bado wapo zaidi nenda wizara ya madini utapata mapping survey data uamue mwenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,882 Reaction score 136,798 Jan 5, 2020 #6 Nenda kilindi, tanga Kna green nzuri tu inatoka huko Migodi na wachimbaji wako kibao Huko Ova Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kilindi, tanga Kna green nzuri tu inatoka huko Migodi na wachimbaji wako kibao Huko Ova Sent using Jamii Forums mobile app