Wachimbaji visima vya maji vya kisasa

Wachimbaji visima vya maji vya kisasa

Villanova tito

Senior Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
148
Reaction score
154
TUJIFUNZE HATUA ZA KUFATA KABLA HUJACHIMBA KISIMA CHAKISASA (#borehole )

1.#geophysicalsurvey HII NI HATUA YA KWANZA UPEMBUZI YAKINIFU KUJUA UWEPO WA MIKONDO YA MAJI NA IKO MITA NGAPI NA UZALISHAJI WAKE WA MAJI

2.#boreholedrilling HAPA NDIO SHUGHULI NZIMA YA UCHIMBAJI HUFANYIKA KWA KUTUMIA MITAMBO HAPA TUNAFATA INFORMATION ZA SURVEY KAMA MAJI YAKO MITA 100 WACHIMBAJI WATACHIMBA MITA MIA

3,#PVCCASING UWEKAJI WA BOMBA MAALUM HIZI NI SPECIAL KWA AJILI YA KUCHOTA MAJI KUTOKA KWENYE MIAMBA PAMOJA NA KUZUIA KISIMA KISIBOMOKE BAADA YA PVC TUNAWEKA GRAVEL KOKOTO HIZI NI SPECIAL KUCHUJA MAJI YAWE SAFI

4.#pumpinstallation HII NI HATUA YA KUFUNGA PUMP SPECIAL KUVUTA MAJI KWENYE KISIMA KWA AJILI YA MATUMIZI

KARIBUNI SANA

MAWASILIANO 0769509666
 
Attachments

  • Screenshot_20250511-004618_1.jpg
    Screenshot_20250511-004618_1.jpg
    412.8 KB · Views: 25
  • Screenshot_20250511-004624_1.jpg
    Screenshot_20250511-004624_1.jpg
    376.9 KB · Views: 30
Mbona hamuweki, wachina wanaweka Kila kitu hadharani , mzungu akitangaza kazi anaweka na salary kabisa Ila wabongo Kila kitu ni Siri. Inaonekana Kuna wengine mnawapiga Kila mtu jinsi alivyikuja. Jifunzeni kampuni zilizoendelea ama mnafanya Kama maduka ya sabuni ngano sukari na mafuta ya kula ya wasukuma waha na wakurya.
Weka Bei ya Kila kitu na weka umbali unavyoathiri Bei Ile mobilization, kujianika unaogopa Sasa unadhani namna Gani ya mtu atakufahamu awe na uhuru
 
Uchinbaji KISIMA ni TOFAUTI na biashara nyingine uchimbaji KISIMA Bei zake ni sawa na ujenzi wa barabara VISIMA vinachimbwa Kwa mita Bei ya kuchimba MITA 100 ni TOFAUTI na mtu atakaechimba MITA 200 tuambie ulifanya survey na unahitaji kuchimba KISIMA Cha mita ngapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom