Wachimbaji Visima katika Mikoa yote

Wachimbaji Visima katika Mikoa yote

Joined
Aug 7, 2018
Posts
34
Reaction score
26
Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote:

ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA

Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000

Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000

Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa 600,000

Tanga-mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000

Morogoro-mita moja tunachimba 80,000,na survey tunafanya kwa 350,000

Pwani-mita moja tunachimba 70,000 na survey tunafanya kwa 250,000

Dares Salaam-mita moja tunachimba 65,000,na survey tunafanya kwa 250,000

Lindi-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Mtwara-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Iringa-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Mbeya-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Singida-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 500,000

Tabora-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Rukwa-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 700,000

Kigoma-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Shinyanga-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Kagera-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Mwanza-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Mara-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Manyara-mita moja tunachimba 130,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Njombe- mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 500,000

Katavi-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 800,000

Simiyu-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Geita -mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Ruvuma- tunachimba kwa 140,000 kwa mita na survey tunafanya kwa 700,000

IMG_7991.jpeg
 
Safi sana.
Ungeainisha gharama zote Mkuu.
Naona hapo umeweka gharama ya survey na kuchimba tu kwa mita.
Au inajumuisha na gharama za installation ya pump na mabomba pia?
 
Mfano kwa Dar ili maji yapatikane muda wowote zinatakiwa kuchimbwa mita ngapi?
 
Dar mkuu kuna visima vya mita 30-140 ina inategemea na sehemu ulipo l eneo lako lipo wapi mkuu ?
Kwa uzoefu wenu wa kazi maeneo ya Mbezi, Malamba, Segerea, Tabata, Kimara na marneo ya jirani na hayo kwa wastani huwa mnachimba mita ngapi ili kupata maji ya uhakika?
 
Safi sana.
Ungeainisha gharama zote Mkuu.
Naona hapo umeweka gharama ya survey na kuchimba tu kwa mita.
Au inajumuisha na gharama za installation ya pump na mabomba pia?
hapo mkuu tunapochaji kwa mita maana yake kuanzia uchimbaji mabomba na pump installation
 
Kwa hizi bei wewe ni dalali.
mkuu kwahiyo DDCA mita moja wanavyochaji 300,000 na wao madalali ? visima vina gharama mkuu PVC ya inch 5 ukiwa mkoani mpaka ifike site ni 75,000 sasa hamuoni hizo gharama ni za kawaida tatizo ni umasikini tu hizo bei ni kawaida nenda kaulize survey sh ngapi pale ubongo maji si utazimia mkuu au angalia bei za uchimbaji kwenye tovuti zao utakuja nishukuru
 
Mnachimba mashimo ya kawaida ya vyoo pia?
 
Nitakutafuta uje unichimbie kisima.
 
Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote:

ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA

Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000

Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000

Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa 600,000

Tanga-mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000

Morogoro-mita moja tunachimba 80,000,na survey tunafanya kwa 350,000

Pwani-mita moja tunachimba 70,000 na survey tunafanya kwa 250,000

Dares Salaam-mita moja tunachimba 65,000,na survey tunafanya kwa 250,000

Lindi-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Mtwara-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Iringa-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Mbeya-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Singida-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 500,000

Tabora-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Rukwa-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 700,000

Kigoma-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Shinyanga-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Kagera-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Mwanza-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Mara-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Manyara-mita moja tunachimba 130,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Njombe- mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 500,000

Katavi-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 800,000

Simiyu-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Geita -mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Ruvuma- tunachimba kwa 140,000 kwa mita na survey tunafanya kwa 700,000

View attachment 3411010

View attachment 3411011
Unaweza kutuambia vigezo ulivyotumia kupanga hizo bei? Hivi kuna baadhi.ya mikoa jiografia ya wilaya na wilaya zinatofautiana sana?
 
130*250000=32,50000 duh nimepiga kwa mita 130 kwa eneo la pwani kuchimba ndo bei iyo mh ww kweli ni dalali siyo kwa pesa iyo maana pesa ya kuchimba kisima inapita mpaka thamani ya nyumba
 
Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote:

ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA

Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000

Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000

Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa 600,000

Tanga-mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000

Morogoro-mita moja tunachimba 80,000,na survey tunafanya kwa 350,000

Pwani-mita moja tunachimba 70,000 na survey tunafanya kwa 250,000

Dares Salaam-mita moja tunachimba 65,000,na survey tunafanya kwa 250,000

Lindi-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Mtwara-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Iringa-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 400,000

Mbeya-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Singida-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 500,000

Tabora-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Rukwa-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 700,000

Kigoma-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Shinyanga-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 600,000

Kagera-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Mwanza-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Mara-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 900,000

Manyara-mita moja tunachimba 130,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Njombe- mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 500,000

Katavi-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 800,000

Simiyu-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Geita -mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000

Ruvuma- tunachimba kwa 140,000 kwa mita na survey tunafanya kwa 700,000

View attachment 3411010

View attachment 3411011
Mara survey kilo 9🤭
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom