Wachimbaji tisa wa Tanzanite kati ya kumi wanaiba Umeme Mererani.

Wakuligo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
259
106
Waziri wa nishati na Madini prof Muhongo amesema wachimbaji tisa wa Tanzanite kati ya kumi wanaiba umeme.
Alikuwa akijibu sehemu ya swali la nyongeza kwa mbuge wa viti maalumu arusha juu ya mgao wa umeme Atown.
 
Kwa nini wasikamatwe kama hadi kwa idadi wanajulikana..Ama inakuwa kama lile sakata la wauza Ngada wanajulikana hadi kwa majina lakin hakuna mwenye ujasiri wa kuwafuata maana hakuna ambaye hajaongwa nao sasa anaona akiwakamata tu naye hatopona..
 
Waziri wa nishati na Madini prof Muhongo amesema wachimbaji tisa wa Tanzanite kati ya kumi wanaiba umeme.
Alikuwa akijibu sehemu ya swali la nyongeza kwa mbuge wa viti maalumu arusha juu ya mgao wa umeme Atown.
Sorry to say this hakunifurahisha na hili jibu hata kidogo kanikwaza sana watu wanaiba mnajua unakuja kutangaza akawasimamishe uongozi ulioidentify what are they doing and even though hao wakidakwa ina maana the rest watapata umeme ama?Hepl me plz.
 
Back
Top Bottom