Habari wana JF!
Nahitaji huduma ya kuchimbiwa kisima kwa mikono maeneo jirani na Mkuranga kwa umwagiliaji mdogo wa bustani. Kwa mtu anayefahamu wajasirimali wanaojihusisha na hili,tafadhali,naomba contacts zao.
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.