Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,140
- 13,215
Kocha mkuu wa Yanga amesikitishwa na kitendo cha mchezji wake Deus KASEKE 'kupata ajali ya bodaboda' na kuwaonya kwamba ni marufuku wachezaji wa timu hiyo ya KIMATAIFA kujichanganya uswazi
Wachezaji wote Yanga marufuku uswahilini
Wachezaji wote Yanga marufuku uswahilini