biasharaTz
Senior Member
- Apr 14, 2016
- 163
- 79
Habari zenu hususani wana michezo!!
Naomba kuelimishwa suala moja najiuliza sana hivi wachezaji wetu mathalani mpira wa miguu wanaposajiliwa nje ya nchi suala la lugha huwa inakuwaje hasa kwa wale ambao huenda hata kidato cha nne hawakufika na bahati mbaya hawakutaka kujiendeleza kielimu japo lugha tu
Masuala ya mikataba huenda wanasaidiwa na mawakala nk lakini sasa katika uwajibikaji uwanjani kupata maelekezo ya namna gani kucheza na kuendana na mfumo wa mkufunzi inakuwaje hii! Hakuna athari zozote kitimu na kiuchezaji
Nawasilisha