Wachezaji wa Simba wanaopaswa kuachwa kwenye Dirisha la Usajili

Baada ya kuangalia list ya wachezaji wa Yanga wanaopaswa kuachwa, leo tugeukie kwa majirani zao Simba. Hii ndio klabu ambayo ni Mabingwa wa Nchi, watatuwakilisha katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika msimu ujao.

Pendekeza majina ya wachezaji ambao wanapaswa kuachwa ili wapishe wachezaji wapya kusajiliwa! Twende kazi...

Wachezaji wa Yanga wanaopaswa kupigwa panga dirisha la usajili

Timu nzima
 
Mchezaji wa kuacha simba ni Ayubu peke yake. Wengine wote ni utoto.na uzee unawakaba.
 
Mbona unaharibu ajira za watu?
Watoto wa Freddy watakuelewaje ?
Acha kuhalibu ajira za watu.
 
Back
Top Bottom