Wachezaji wa kileo

babacollins

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
901
212
Mazingira ya soka yanabadilika sana kwa sasa kulinganisha na miaka 20 au 25 iliyopita.

Uhusiano wa kocha na wachezaji ulikuwa wa "kigumu". Kocha aliweza kumuweka mchezaji benchi na uamuzi wake "ukaheshimiwa".

Kwa sasa melezi, makuzi, teknolojia, mitandao ya kijamii, mawakala, mahusiano baina ya wenye timu na wachezaji, biashara n.k. yote haya yanasababisha uhitaji mkubwa wa makocha wenye uelewa mkubwa wa masuala ya mahusiano ili kupata kilicho bora kutoka kwa mchezaji na kulinda kibarua chake.

Sio kazi ndogo kuwa kocha mwenye mafanikio katika zama hizi pia sio kazi ndogo kwa kocha kufundisha nje ya mipaka.

Mchezaji kiongozi.
 
Ili suala analiongelea sana Zlatan uwezi kufananisha Mpira wa enzi izo na wasasa enzi za sasa ni ngumu mnoo FIFA imeweka sheria ngumu mnoo masheria ya Offside jumlisha maVAR na Video review technology unafanya mpira uwe mgumu zaidi zamani udambwi ulikua mwingi sana uwanjani saivi ukifanya udambwi umeishaa inatakiwa utoe pasi chap mpira umekuwa na kasi sana yaani Kifupi utatandawazi umehusika pakubwa sanaa
 
Back
Top Bottom