Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,410
- 3,548
Kuelekea mechi ya Kariakoo Derby au Ilala Derby baina ya Simba na Yanga Jumamosi mengi huwa yanazungumzwa. Kuna wachezaji mastaa huwa wanang'aa na kujikuta wanatukuzwa na mashabiki wao. Pia kuna wachezaji hufanya vibaya katika mechi hiyo kiasi cha kulaumiwa kuwa wameuza mechi.
Hebu tukumbushane mastaa waliowahi kutamba katika mechi hii kubwa hapa Tanzania. Wachezaji waliokuwa wanapafomu vizuri na kuwafurahisha mashabiki wao katika mechi hii.
Karibuni mtiririke wakuu
Hebu tukumbushane mastaa waliowahi kutamba katika mechi hii kubwa hapa Tanzania. Wachezaji waliokuwa wanapafomu vizuri na kuwafurahisha mashabiki wao katika mechi hii.
Karibuni mtiririke wakuu