Wachezaji 7 Simba waliopo South kurejea weekend hii

HPAUL

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
410
567
Imekuwa bahati mbaya kwa Gadiel, Ajib na wachezaji wengine watano wa Simba ambao wamekwea pipa leo kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao itabidi weekend hii warejee tayari kwa maandalizi ya mechi ya CHAN dhidi ya Kenya Julai 28.
Hawataweza kurudi tena South kwani marudiano na Kenya tarehe 4 August, na Simba inarejea nchini August 5 tayari kwa Simba day tarehe 8.
 
4 August ni siku ya wananchi..hiyo mechi ya Kenya mtaangalia mikia..sisi tutakuwa Taifa...Yanga vs As Vita
Sawa tutaangalia sisi hiyo tarehe 4 August kwenye luninga, maana itafanyikia Kenya, hata hivyo mtawakosa Metacha, Godfrey, Yondani, Makame na Toto maana watakuwa Kenya
 
Imekuwa bahati mbaya kwa Gadiel, Ajib na wachezaji wengine watano wa Simba ambao wamekwea pipa leo kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao itabidi weekend hii warejee tayari kwa maandalizi ya mechi ya CHAN dhidi ya Kenya Julai 28.
Hawataweza kurudi tena South kwani marudiano na Kenya tarehe 4 August, na Simba inarejea nchini August 5 tayari kwa Simba day tarehe 8.

Sijajua ni kwanini umesema imekuwa ni bahati mbaya Kwao wakati wamefika leo huko Afrika Kusini na Kocha kwa hizi Siku Nne ambazo atakuwa nao anaweza Kuwatambulisha aina ya Mfumo wake na bado hao Wachezaji wakauelewa na hata kuutumia katika Mechi ambazo watakuwa wanapangwa. Na usisahau kwamba hata Kuitwa tu katika Timu ya Taifa ya nchi yako kwa Mchezaji makini ni Sifa moja kubwa na Ufahari pia kwani wako Wachezaji wengi tu wakubwa duniani lakini mpaka hivi leo hawajaitwa katika Timu zao za Taifa na hilo Jambo linawatesa na kuwaumiza mno tu.
 
Imekuwa bahati mbaya kwa Gadiel, Ajib na wachezaji wengine watano wa Simba ambao wamekwea pipa leo kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao itabidi weekend hii warejee tayari kwa maandalizi ya mechi ya CHAN dhidi ya Kenya Julai 28.
Hawataweza kurudi tena South kwani marudiano na Kenya tarehe 4 August, na Simba inarejea nchini August 5 tayari kwa Simba day tarehe 8.

Sijajua ni kwanini umesema imekuwa ni bahati mbaya Kwao wakati wamefika leo huko Afrika Kusini na Kocha kwa hizi Siku Nne ambazo atakuwa nao anaweza Kuwatambulisha aina ya Mfumo wake na bado hao Wachezaji wakauelewa na hata kuutumia katika Mechi ambazo watakuwa wanapangwa. Na usisahau kwamba hata Kuitwa tu katika Timu ya Taifa ya nchi yako kwa Mchezaji makini ni Sifa moja kubwa na Ufahari pia kwani wapo Wachezaji wengi tu wakubwa duniani lakini mpaka hivi leo hawajaitwa katika Timu zao za Taifa na hilo Jambo linawatesa na kuwaumiza mno tu.
 
Imekuwa bahati mbaya kwa Gadiel, Ajib na wachezaji wengine watano wa Simba ambao wamekwea pipa leo kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao itabidi weekend hii warejee tayari kwa maandalizi ya mechi ya CHAN dhidi ya Kenya Julai 28.
Hawataweza kurudi tena South kwani marudiano na Kenya tarehe 4 August, na Simba inarejea nchini August 5 tayari kwa Simba day tarehe 8.
Nilishasema ni hasara tu hiyo Safari Ya south sasa wame gain kitu gani huko?
 
Back
Top Bottom