kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,298
- 12,600
- Thread starter
- #21
Dawa sio kukusanya wababaishaji wengi kutoka rwanda, Burundi, Uganda na kuwapa hizo pesa wakajenge kwao huku viwango vya vya mpira ni kama vya vijana wetu Tu hapa. Kagere kalamba mapesa mengi lakini timu imelikosa kombe. Kwanini hiyo pesa wasingempa Chilunda?Kikubwa ‘Mentality’ mkuu. Hata mshahara haukuwepo hiyo zamani ila timu zilipambana kufanya vyema,umejiuliza kwanini sasa hivi tunatoka patupu?. Vijana wanataka pesa nyingi halafu kazi hawapigi ipasavyo.