nemecheka saaaaanah!Mizengo kayanza pinda.
Lakini Zizzuo bado kwangu ni greatest player of recent generationHuyu Gagulo siku hiyo alishikwa mwanzo mwisho na akaonelea tu akapumzike kwa kisingizio alichokiainisha...
Zidane wenzako wanaagaga kwa heshima, ila sio kama wewe ulivyoaga.
Lakini Zizzuo bado kwangu ni greatest player of recent generation
Wacheza rafu
hodari 10 duniani = not grammatical (huo mpangilio wa maneno sio sahihi)
Aliyepata kuwa mchezaji wa Man U Nick butt, halfbeck 4 wa ufaransa na chelsea wakati huo Frank Libouf, kiungo mkabaji wa barcelona na timu ya taifa ya Argentina Javie Mascerano na kiungo mchezeshaji mstaafu wa Arsenal Patrick Viera. Hawa jamaa nadhani wanaongoza kwa kupewa kadi nyekundu wakati wakicheza EPL. Kwa sasa pale yupo Tcheik Tiote anayekipiga pale st james park.
What a short-lived talent!!!!!!!!!!!!!!!!!Uliwahi kumuangalia Ronaldo De Assis Morreira?
Nakubaliana na wewe. Huyu Dogo sijui kawatoa wapi hao wachezaji wake. Utasemaje Edgar Davids ni mchezaji rafu? Gattuso na Diuf ni walalamishi sana na wapenda zogo na zaidi Gattuso ni ngumi mkononi ila siyo mpiga kiatu.
Viera alikuwa anapiga kiatu hadi mwenyewe anasikitika, damn. Halafu sijui umemwacha kwa nini PEPE de Animal?
Salum Kabunda - Yanga
Rostam Ndunguru - Nyota Nyekundu
Daud Salum - Simba
Weka mtazamo wako usiwe mvivu wa kusoma hii ni kwa ninavyofikiri mimi,ukisema dogo dogo,who is dogo in here behave urself son of.....