Hizo picha zinasupport facts namba ngapi hapo ?1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.[emoji336]
2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie, "hebu kwanza......."
4. Kamwe haiiti kwa mlio, always vaibration.
5. Namba nyingi ha-save.
6. Kuna simu hapokei hata iweje....anapenda sms zaidi
7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.
8.Muda mwingi ni mtu wakujihami.
9.Anapenda password na anabadili mara kwa mara.
10.Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta no haraka.
11.Always yuko na simu.....hadi bafuni ikibidi.
12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu....anajishtukia.
13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara
kiwiziwizi
14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture
na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko
Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja
kabisa
View attachment 1244312View attachment 1244313View attachment 1244314
hao ni wanachuo wa mwaka wa kwanza wanatafuta watu wa kuwalipia ada.Hao uliowaweka ndio kina nani?
Mchumba wangu alikuwa mchepukaji maarufu Africa mashariki na kati lakini hakuwa na tabia hata moja kati ya hizo juu na sikuwahi waza kwamba ana msururu wa wanawake ...hao ni wachepukaji wanaoanza wale makonkodi hawana muda wa kukuangalia kwa kuibia sijui kuweka pasword.1. Hachezi mbali na simu yake kila wakati.[emoji336]
2. Inbox na sent items hufutwa kila wakati.
3. Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie, "hebu kwanza"
4. Kamwe haiiti kwa mlio, always vibration.
5. Namba nyingi ha-save.
6. Kuna simu hapokei hata iweje. Anapenda sms zaidi
7. Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.
8. Muda mwingi ni mtu wa kujihami.
9. Anapenda password na anabadili mara kwa mara.
10. Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta namba haraka.
11.Always yuko na simu, hadi bafuni ikibidi.
12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu anajishtukia.
13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi
14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko
Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja kabisa.
View attachment 1244312View attachment 1244313View attachment 1244314
Mchumba wangu alikuwa mchepukaji maarufu Africa mashariki na kati lakini hakuwa na tabia hata moja kati ya hizo juu na sikuwahi waza kwamba ana msururu wa wanawake ...hao ni wachepukaji wanaoanza wale makonkodi hawana muda wa kukuangalia kwa kuibia sijui kuweka pasword.
Hao uliowaweka ndio kina nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchumba wangu alikuwa mchepukaji maarufu Africa mashariki na kati lakini hakuwa na tabia hata moja kati ya hizo juu na sikuwahi waza kwamba ana msururu wa wanawake ...hao ni wachepukaji wanaoanza wale makonkodi hawana muda wa kukuangalia kwa kuibia sijui kuweka pasword.
Simu yake nilikuwa naishika masaa yote hata ukague hadi setting hukuti chochote....hakuwa na pasword zaidi ya pattern ambayo na mimi nilikuwa naijua profile picture na status nilikuwa najaa tele kama kwangu vile. Inshort hakuwa na trace yoyote ya kukufanya umhisi hata kama anacheat.emu tuanbie hao makonkodi wanafanyaje tupate nasi kujua
Huyo alikuwa na simu nyingine anaiacha ofisini ndo imejaa michepuko hiyo huijui,Simu yake nilikuwa naishika masaa yote hata ukague hadi setting hukuti chochote....hakuwa na pasword zaidi ya pattern ambayo na mimi nilikuwa naijua profile picture na status nilikuwa najaa tele kama kwangu vile. Inshort hakuwa na trace yoyote ya kukufanya umhisi hata kama anacheat.
Kumbe yeye michepuko yake alikuwa anaiambia kabisa nyumbani kuna mjinga mmoja ambae ikifika saa 2 usiku msinitumie meseji wala kupiga na ikifika asubuhi anavyotoka getini ndio anaanza kuwatafuta siku nzima anachepuka wee nyumbani anarudi clean hana chochote kwenye simu. Utakagua hadi alarm hupati chochote ng'oo
Simu yake nilikuwa naishika masaa yote hata ukague hadi setting hukuti chochote....hakuwa na pasword zaidi ya pattern ambayo na mimi nilikuwa naijua profile picture na status nilikuwa najaa tele kama kwangu vile. Inshort hakuwa na trace yoyote ya kukufanya umhisi hata kama anacheat.
Kumbe yeye michepuko yake alikuwa anaiambia kabisa nyumbani kuna mjinga mmoja ambae ikifika saa 2 usiku msinitumie meseji wala kupiga na ikifika asubuhi anavyotoka getini ndio anaanza kuwatafuta siku nzima anachepuka wee nyumbani anarudi clean hana chochote kwenye simu. Utakagua hadi alarm hupati chochote ng'oo
Mzee baba hakuwa na simu nyingine bali alikuwa anaitumia hiyo hiyo. Michepuko yake yote ilikuwa inanifahamu sema tuu walikuwa wanajua tuna migogoro kiasi kwamba tunakaribia kuachana( ndio anavyowadanganya). Wengine aliwasave majina ya kiume kwahiyo kujua inakuwa ngumu. Wanaume shikamoo jamani [emoji23][emoji23][emoji23]Huyo alikuwa na simu nyingine anaiacha ofisini ndo imejaa michepuko hiyo huijui,
Unayoijui wala michepuko haipi namba