Napenda sana wakosoe wanavyotaka ila uzushi,cherypick,ndio vinavyonisumbua je vipi wewe kama una akili mbona sijakuona kuitetea Tz siku zote mpaka Bongo imefilisika kabisa?.
Hivi ni kwanini haswa kila tunapokuwa na Rais muislamu mambo na majungu kibao yanaanziswa juu yao,nakumbuka sana wakati Mwinyi anaingia madalakani Nnchi ilikuwa imeooza kabisa,hakuna hata huduma za msingi kabisa,Bongo kulikuwa hakuna kitu kabisa hata Dawa ya mswaki ilikua hanasa,sukari kulikua hakuna na kuna watu walifungwa kwa kukutwa na dawa za mswaki zaidi ya mbili TZ nzima kulikua na TV SET 35 tu ,tv SET na siyo vituo vya TV Babu wa watu Mwinyi kaichukua nnchi kaitengeneza vizuri,kuanzia usafiri,huduma za jamii,na kila kitu kikawa safi,soon tukaanza kuona waraka wa wakristo kuanza kumshutumu mwinyi kwa udini,kisha wandishi wa habari kanza kumsakama pia na kila mtu ,Babu alipomaliza muda wake kajipunzisha na hata akipita mitaani watu wanampenda,kaja Mkapa kaibaka Tz kauza kila kitu,hakuna waraka kutoka kanisani,wala waandishi wa habari,kila mtu kimya .leo hii kaja Kikwete tunaona tena waraka,kelele na kila shutuma kutoka kila kona.mimi sna mengi sana ila naomba tumwachie Kikwete amalize muda wake na kama atachaguliwa tena amalizie muda wake,je mlikuwa wapi mkapa alipokuwa anachota mimali,mbona hakuna aliyegundua kitu au kwa sababu alikuwa mwenzetu,kama kikwete kafanya kosa au ufisadi tuonyeshe na siyo kumkosoa kwa sababu siyo mwenzetu,wakati wa BABA WA TAIFA KUNA MASHIRIKA YA UMMA YALIKUWA YAMEJAA WATU WA DINI MOJA,JESHI LILIKUWA LA DINI(KABILA MOJA,watu waliopogania uhuru wote waliondolewa bila kupewa hata ujumbe wa nyumba kumikumi,hakuna aliyepiga kelele,kuna watu walikua wanapotea kiainaina tu hakuna aliyepiga kelele,.acheni udini na tuwe tunakosoa pale tu kunapokua na sababu za kimsingi na siyo sababu za kidini.najua kuna watu humu wataanza kuleta hoja finyu kuhusu hili,lakini ukweli utabaki palepale KUNA WAATALAMU WENGI WANAKOSOA PALE TU RAISI AKIWA MUISLAMU .ENJOY TRUTH.
Napenda sana wakosoe wanavyotaka ila uzushi,cherypick,ndio vinavyonisumbua je vipi wewe kama una akili mbona sijakuona kuitetea Tz siku zote mpaka Bongo imefilisika kabisa?.
Hapa ndipo nawaonea huruma waliojitoa kuwakomboa watanzania wenye mitazamo kama hii....! poleni sana akina SLAA,ZITO,MWAKYEMBE,KILANGO. Mtu kama huyu ni rahisi kununuliwa kwa turufu ya udini...!Hivi ni kwanini haswa kila tunapokuwa na Rais muislamu mambo na majungu kibao yanaanziswa juu yao,nakumbuka sana wakati Mwinyi anaingia madalakani Nnchi ilikuwa imeooza kabisa,hakuna hata huduma za msingi kabisa,Bongo kulikuwa hakuna kitu kabisa hata Dawa ya mswaki ilikua hanasa,sukari kulikua hakuna na kuna watu walifungwa kwa kukutwa na dawa za mswaki zaidi ya mbili TZ nzima kulikua na TV SET 35 tu ,tv SET na siyo vituo vya TV Babu wa watu Mwinyi kaichukua nnchi kaitengeneza vizuri,kuanzia usafiri,huduma za jamii,na kila kitu kikawa safi,soon tukaanza kuona waraka wa wakristo kuanza kumshutumu mwinyi kwa udini,kisha wandishi wa habari kanza kumsakama pia na kila mtu ,Babu alipomaliza muda wake kajipunzisha na hata akipita mitaani watu wanampenda,kaja Mkapa kaibaka Tz kauza kila kitu,hakuna waraka kutoka kanisani,wala waandishi wa habari,kila mtu kimya .leo hii kaja Kikwete tunaona tena waraka,kelele na kila shutuma kutoka kila kona.mimi sna mengi sana ila naomba tumwachie Kikwete amalize muda wake na kama atachaguliwa tena amalizie muda wake,je mlikuwa wapi mkapa alipokuwa anachota mimali,mbona hakuna aliyegundua kitu au kwa sababu alikuwa mwenzetu,kama kikwete kafanya kosa au ufisadi tuonyeshe na siyo kumkosoa kwa sababu siyo mwenzetu,wakati wa BABA WA TAIFA KUNA MASHIRIKA YA UMMA YALIKUWA YAMEJAA WATU WA DINI MOJA,JESHI LILIKUWA LA DINI(KABILA MOJA,watu waliopogania uhuru wote waliondolewa bila kupewa hata ujumbe wa nyumba kumikumi,hakuna aliyepiga kelele,kuna watu walikua wanapotea kiainaina tu hakuna aliyepiga kelele,.acheni udini na tuwe tunakosoa pale tu kunapokua na sababu za kimsingi na siyo sababu za kidini.najua kuna watu humu wataanza kuleta hoja finyu kuhusu hili,lakini ukweli utabaki palepale KUNA WAATALAMU WENGI WANAKOSOA PALE TU RAISI AKIWA MUISLAMU .ENJOY TRUTH.
Tatizo letu WTZ tunapenda kutawaliwa na madicteta kama Nyerere. Watu hawajui maana ya FREEDOM.
Nadhani tatizo la waTZ wengi ni kuwa na fikra duni. Na wewe ni mfano hai.
Kwa hiyo unataka watu wasikosoe serikali eti kwa sababu rais ni muislamu? Hivi una akili wewe?
Kwa hiyo unataka watu wasikosoe serikali eti kwa sababu rais ni muislamu? Hivi una akili wewe?
Unauliza nazi kisiju? au ndiyo wewe mwenye matatizo ya AKILI?
Kwa nini hujibu kwa hoja? Unatakiwa utoe analysis yako na Si kutukana.
Haya ndiyo matatizo ya watu kama nyinyi msiojua maana ya FREEDOM. Baada ya kuwa na point, unaanza kutukana. Haya ndiyo matatizo ya kuwa na WTZ EXTREMISTS kama nyinyi.
Abdul wewe ndio una fikra duni,unapenda kujamp on gun bila kuwa na point yoyote.