December likizo time vitoto vyetu vimefunga shule.usiku wa leo nimeota ndoto ambayo imeniacha na maswali mengi sana, mara zoke nikiotaga ndoto za kugegeda lazima nimwage wazungu wakutosha,nikistuka tuu nachange zangu boxer, sasa leo nashangaa nimeota ndoto ya dizain hiyo na wazungu nimerusha lakini nilivoshtuka na kujikagua nikakuta hamna kitu, nawaza sana labda wachawi watakua wamesepa na wazungu wangu.
Daaah poa nimekusoma mkuuKama kila siku unaota mara 3, bado una wanawake, hao wazungu wanazalishwa kutoka wapi? hakuna wazungu tena hapo! wacha mawazo ya kishirikina, yakianza kukuandama hata kama ni hali mbaya ya kawaida ya uchumi utaanza kuwawaza baada ya kujitahidi!
una spiritual wife?Mkuu mm sio mtoto.
Kama unaota ndoto za namna hii halafu huoni ni tatizo Basi wewe ni katotoMkuu mm sio mtoto.
umeona ulivyo mtoto!!!! una umri gani?Hapana