issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,139
wachawi mm nisaidieni nataka niwe natumia king'amuzi cha azam bila kulipia
Nilisafiri na ungo hadi white house kwa Trump.
Hapa ninavyokoment nipo makaburini huku nafufua misukule.
Huwa wananiita kiranja wa wachawi.
Haujisikii kunihonga honga lile gari lako jipya ?Ndiyo maana sijielewi elewi juu yako, ushanifanyia yako kumbe!
Haujisikii kunihonga honga lile gari lako jipya ?
Utaishia kutapeliwawachawi mm nisaidieni nataka niwe natumia king'amuzi cha azam bila kulipia
utaalamu huo hamna????Utaishia kutapeliwa
Upo lakini ni wa level za juu mnoutaalamu huo hamna????


maana kila Watu wakijaribu kuinuka ktk Nyanja mbalimbali wanarudishwa nyuma ! Angalia Bagamoyo iko karibu na Dar, Tanga n.k ndo maana wengine hawathubutu kujaribu kujenga makwaoWadindika
Bora mwanga, niwe nayachezea masaburi ya watu!Duuh kwahyo bora kuwa mchawi au mwanga? Ukiambiwa uchague kimoja wapo..
