Wachagga wana Hadi Barabara Zao!! Look.

Kwa hiyo best yangu kwenye huo mtaa ni wachaga tu ndo huruhusiwa kupita?
Za mwaka mpya best? shansarie hajambo? Mpe salaams nyingi sana.

hapo sasa tena angalia hata hapo chini pameandikwa kabisa.
Barabara ya wachagga.
 
waarusha wabaguuzi, kwanini wamewatengea road moja wachaga....?
 
Obama ni kikundi cha watu?

compare Obama na Wachagga..

umechanganya madesa
Don't take it seriously brother. hata mdau aliyesema kuwa wanapita wachaga tuu na yeye alikuwa anatania kama mimi nilivyotania.
save your breath.
 
waarusha wabaguuzi, kwanini wamewatengea road moja wachaga....?

Hilo ni la kwanza..
natamani wachaga nao wahamie kwa wingi mtwara, yaani wawe wengi kama walivyo pale Arusha
 
Itakuwa mtaa huo walikuwa wanaishi wachaga wengi wakaamua wapaite hivyo. Kuna mitaa au barabara nyingine zinaitwa/kunaitwa uhindini. Sio mbaya kwa mtazamo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…